Michael Augustine Lukindo

Hata kama anatimiza matakwa ya marehemu kuita ndugu, ukweli kwamba anahangaika kutafuta ndugu ndiyo kuelemewa kwenyewe huko.

Kilichopo hapa ni speculations nyingi, all the more reason to look into some documented things.Kama will hivi.
 
Kuhangaika kutafuta ndugu ndo kuelemewa? Sidhani hata kidogo!
 
Nadhani mke wake anatimiza wajibu kama mjane. hata kama hakuna will nafsi ya huyo mjane imeanza kumsuta kuwa why all these years without relatives?
 
Duh, hiyo ya pili ina maana walitegemea angeishi milele?
Nilimaanisha si kama walivyotegemea/tarajia

Unajua sisi binaadamu tunaishi kwa imani(hapa simaanishi dini), kwahiyo walikuwa wanaamini marehemu bado angekuwa yupo yupo kwanza sisi binaadamu ikitokea ametangulia(ametutoka hapa ulimwenguni) tunayempenda/tunaowapenda wakitutoka siku zote tunakua na hii dhana "gone too soon" hata kama umri wa marehemu ukiwa/ulikuwa umeenda

Mfano wewe mwenyewe hujui lini utamaliza mkataba wako hapa duniani

Lakini nina hakika una mipango yako hata kwa miaka kumi ijayo pamoja uanafahamu kuwa hautowepo hapa ulimwenguni milele
 
Soon or not is a matter of timing. Wenyewe wanyamwezi alikolowea huyu wakitaka kukuonesha kitu hakikwepeki wanakwambia "sooner or later...".

So, hawakutegemea kwamba angefariki?
 
Nadhani mke wake anatimiza wajibu kama mjane. hata kama hakuna will nafsi ya huyo mjane imeanza kumsuta kuwa why all these years without relatives?

Kama hakuna wosia (wa maandishi au wa maneno) basi hakuna ubaya katika anachotaka kufanya.
 
Soon or not is a matter of timing. Wenyewe wanyamwezi alikolowea huyu wakitaka kukuonesha kitu hakikwepeki wanakwambia "sooner or later...".

So, hawakutegemea kwamba angefariki?
Ingawa sina uhakika lakini kwa kudhania naweza sema walikuwa wana imani muda wa marehemu kuondoka ulimwenguni bado, pamoja na ugonjwa walikuwa na imani atapona tu(atarudi katika hali yake ya kawaida)

Mfano hai kunaweza kuwa na mgonjwa yupo mahututi lakini kwa sisi tuliye nae karibu tunajipa imani atapona tu, atapona tu hata awe anapumilia gesi
 
Ni taarifa ya kuhuzunisha,nitumie nafasi hii kuwataja waliofariki kwa mtindo huo na sijui kama ndugu zao wanajua au bado wanaamini kuwa wako hai: Kuna Jaffert Kiboyi na bwana mmoja aliyefahamika kama Fataki.wote wamefia Poland.Kiboyi ni wa kigoma na Fataki wa Tanga.
 
Once again, such imani is the realm of the unthinking.

The thinking make plans, backup plans, contingencies plans, regularly updated wills etc, even when not sick.
 
Samahani wenyeji wa TANGA naomba msinifikirie vibaya hapa nasema mifano hai

Watu wa TANGA wanaotoka nje ya TZ inaelekea hii ni kwaida yao kutofanya mawasilano nyumbani wanapokuwa nje

Kuna mmoja nilisikia mwaka wa juzi nae ni mtu wa TANGA alifariki UGIRIKI na hawakuweza kumpata hata ndugu yake mmoja TZ, ikabidi wanaoishi UGIRIKI wamalize taratibu zote za mazishi

Mazingira yanafanana kama haya ya mkuu LUKINDO
 
Once again, such imani is the realm of the unthinking.

The thinking make plans, backup plans, contingencies plans, regularly updated wills etc, even when not sick.
Noted mkuu
 
Si peke yao mkuu tunakutana na kesi nyingi za aina hiyo toka kwa diaspora wetu waliopo nje....

Inatia aibu kwakweli
 
Basi sawa!!
 
Si peke yao mkuu tunakutana na kesi nyingi za aina hiyo toka kwa diaspora wetu waliopo nje....

Inatia aibu kwakweli

Wamejaa tele wabongo watu wazima walioondoka bongo in 1960s and 70s hasa kule Brazil esp Porto Alegre, Rio na Recife. Wameshasahau bongo na kutupa jongoo na mti wake.
 
Wamejaa tele wabongo watu wazima walioondoka bongo in 1960s and 70s hasa kule Brazil esp Porto Alegre, Rio na Recife. Wameshasahau bongo na kutupa jongoo na mti wake.

Wengi hujisikia vibaya pale wanaporudi nyumbani na kukuta waliowaacha wamefanikiwa sana kimaisha hilo huwaumiza sana
 
hahaaaaa! Lolest! Eti wabongo tunapenda sana undugu! You hit the point!

huo mstari wa kwanza utakuwa signature yangu!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…