Mianaume ndo tulivyo......hovyoooo!

Mianaume ndo tulivyo......hovyoooo!

Hili lisredi limetuzalilisha sana sisi vichwa vya familia.

Kulaaleki huyu aliye hack password ya bishanga............nikimkamaaata!

Ngoja niwahi kuangalia mpira.
Heeeeee heeee!babu unalo ilo!
Shikamoo babu ODM.
 
Hili lisredi limetuzalilisha sana sisi vichwa vya familia.

Kulaaleki huyu aliye hack password ya bishanga............nikimkamaaata!

Ngoja niwahi kuangalia mpira.

Babu umeona eehhh
ni balaa haswa
Hizi siri ni za ndani mno zilitakiwa zibakie huko huko
Yaani leo mechi ya Man U na Man City kesho Asernal na Chelsea Keshokutwa yake friendly match ya Brazil na Gabon lol
 
Bishanga banaa......ila hiyo namba tatu (3) naona inakuhusu sana
kinababa humu leo naona kisu kimegusa mfupa....looks like watu wamekuwa defensive ile mbaya,du!
la namba 3 ....no way.....mi mtaaalam bana.....muulize memba flan humu mmu.
 
Wapo wengi na wapo ambao ni wanaume na wanajua nini maana ya ndoa zao na wanaheshimu ndoa zao
Ni baba wa familia na mume kwa mke wake
Wanajua muda wa kukaa na familia na muda wa kukaa na marafiki
Muda wa kukaa na watoto na uhuru wanaopaswa kupewa watoto
Wanaoheshimu hisia za wake zao na wanaoheshimu pia hisia za watoto wao na wanaojua watoto wao au wake zao kwa muda huo wanataka nini na wanahitaji nini kutoka kwa baba au mume
mmmmmhhh haya........wahaya wanasema 'toina kamogo'
 
Shikamoo Bishanga!
Najisikia raha kusoma sred yako!
Namwomba mungu tanesco wasiukate ili nione mwisho wa hii vita!
Hapa hata wakizuga,msg sent and delivered!
 
Namba 9 nimeipenda, kumbe mwaturuhusu tucheze mechi za nje ila tusizae huko eeh? Na tukizaa tusizae zaidi ya mmoja! Hapa ndio ninapowapendea wanawake hamna wivu kabisa!!!

Usijaribu mkuu. sio wote, kuna wengine watata acha kabisa
 
Hili lisredi limetuzalilisha sana sisi vichwa vya familia.

Kulaaleki huyu aliye hack password ya bishanga............nikimkamaaata!

Ngoja niwahi kuangalia mpira.
ni Kloro kaandaa huu uzi ,akaniletea kwa e mail,nikakopi na kupest,mtafute mmalizane naye
 
Hata nikioa kwenye no.12 kwa kweli nisamehewe ila ntashinda na family nkishagonga nao lunch ndo naondoka.
 
Ahaaa wapi nyie hamjui tu Bishanga kaamua kutoa siri zake ila kwa staili nyingine.

Ila si ni kweli mkuu
yako mengi sana ambayo yapo kwetu sisi wanaume tunaona kama ni haki yetu kumbe tunawaumiza wenzetu
Na tunayafanya kwa maana ya kuwa tunaona ni haki yetu kuyafanya wakati ni mbaya sana
 
We acha tu.....

Huyu mtu ameamua kuweka siri zetu muhimu hazarani.......

Kulaaleki wallah!
Kwani siri basi Aspirin? nenda kwenye mkusanyiko wowote wa kina mama,iwe saluni, kitchen party au shughuli yao yoyote,utayasikia haya haya.
 
This Thread deserves a REPUTATION.... B' Respect Mkuu..... Me love this Thread.
 
Back
Top Bottom