Mialiko ya Idd imekuwa adimu sana!

Hatari sana, yaani sijui wako vipi. Vya wenzao midomo juu, vyao duh!!
Tumewafuturisha mwezi mzima bado wanadai mkono wa idd. Yani noma sana, sijui wao hizo baraka huzipataje, walituambia tukiwafuturisha tunapata baraka, tukafanya hivyo mwezi mzima. Basi na wao watualike leo na kesho angalau.
 
nyinyi hamjui kula
 
Nyumna ina waislamu wanne nimeishia kula kwa Harufu mamaee...!! Akati me pasaka nilipendekeza...sitarudia kabisa wapuuzi hawaa
Waislamu ungea lolote watakuelewa. Ila kukualika kwenye ubwabwa sahau. Hata awe msomi kama Kapuya au Lipumba. Kwenye ubwabwa wanabadilika
 
Back
Top Bottom