Mialiko ya Idd imekuwa adimu sana!

comte

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
8,222
5,946
Ndugu zetu waislam hongereni kwa kumaliza funga ya mwezi mtukufu wa Ramadhan.

Mwaka huu nakumbuka hakukuwa na fujo ya kupanda kwa bei ya bidhaa za futari hasa sukari.

Lakini nimesikia kwa mbali mmetoa mialiko michache sana kwa wasio nyinyi kuja kuungana nanyi katika idd na mambo yanayoendana nayo hasa kwenye ulaji- siyo mbayo siku nyingine
 
Ndugu zetu waislam hongereni kwa kumaliza funga ya mwezi mtukufu wa Ramadhan.
Mwaka huu nakumbuka hakukuwa na fujo ya kupanda kwa bei ya bidhaa za futari hasa sukari.
Lakini nimesikia kwa mbali mmetoa mialiko michache sana kwa wasio nyinyi kuja kuungana nanyi katika idd na mambo yanayoendana nayo hasa kwenye ulaji- SIYO MBAYO SIKU NYINGINE

Waache waringe. Tutaonana wabaya kwenye sikukuu yangu ya Kipaimara.
 
Hawa wenzetu noma, tumewafuturisha mwezi mzima, nilidhani sikukuu hii ambayo hasa ni siku moja angalau na wao wangetualika lakini wapi.
Eti bado wanataka mkono wa Eid duh hatari sana.
 
Nyumna ina waislamu wanne nimeishia kula kwa Harufu mamaee...!! Akati me pasaka nilipendekeza...sitarudia kabisa wapuuzi hawaa
 
Mimi nimepata mialiko miwili ila nilichagua kumpa kampan Mke wangu alipata mualiko wa rafiki yake wa siku nyingi
 
Hatari sana, yaani sijui wako vipi. Vya wenzao midomo juu, vyao duh!!
Hawa wenzetu noma, tumewafuturisha mwezi mzima, nilidhani sikukuu hii ambayo hasa ni siku moja angalau na wao wangetualika lakini wapi.
Eti bado wanataka mkono wa Eid duh hatari sana.
 
Ndugu zetu waislam hongereni kwa kumaliza funga ya mwezi mtukufu wa Ramadhan.
Mwaka huu nakumbuka hakukuwa na fujo ya kupanda kwa bei ya bidhaa za futari hasa sukari.
Lakini nimesikia kwa mbali mmetoa mialiko michache sana kwa wasio nyinyi kuja kuungana nanyi katika idd na mambo yanayoendana nayo hasa kwenye ulaji- SIYO MBAYO SIKU NYINGINE
Kwani wewe ulifuturisha?!
 
Kama una hela leo ni Eid kama hauna hela leo ni ijumatano...kwa hiyo mkuu wewe kwako leo ni ijumatano
 
Back
Top Bottom