Miaka zaidi ya 10 bado mshamba wa papuchi. Anahitaji msaada

Ma Mshuza

Senior Member
Feb 26, 2019
192
1,021
Kuna wanaume jamani hawalizoei bumunda kabisa. Mume wangu zaidi ya miaka 10 bado nikianza kuvua nguo kuvaa.au akiniona napaka mafuta nimeinama anachanganyikiwa kabisa.

Inafikia hatua inabidi nivalie huko huko bafuni au awe sebuleni asub anapata breakfast mimi ndo nivae haraka haraka.bila hivyo anataka kulianzisha.

Huu naona ni ushamba wa mbunye.imagine kweli zaidi ya miaka 10 bado hajaizoea kabisa.kawaida wanaume wakishakaa sana kwenye ndoa huzoea mbunye za wake zao na huanza kutaka za nje.

Huyu ni shida.je tatizo ni ushamba au ameathirika kisaikolojia? Kweli jamani mi nishindwe kuwa huru nyumbani kwangu mwenyewe kwa wasiwasi wa yeye kutaka nibaka?maana kuna kipindi anataka tu hata kama sipo ready.
 
Naona miaka zaidi ya 10 WEWE ndio bado mshamba wa ndoa. Hujajua nini maana ya ndoa wala majukumu ya kila mmoja kwa mwenzie. WEWE ndio mwenye matatizo dada.
 
USILALAMIKE SANA, SEXUAL DRIVING FORCE YA MME WAKO IPO JUU SANA, NA INAONEKANA WEWE NDIYE UNAYEMSISIMUA ZAIDI KULIKO WOTE WALIOPITA HAPO KWAKE.

UNA BAHATI, KUNA WENZAKO WANALIA KILA UCHWAO,MWANAUME HATA APIGWE CHAKATI TANGANYIKA JEKI BADO AMEINAMA KAMA MPAPAI UMEPIGWA NA MVUA USIKU KUCHA TU.
 
Hapo unaamaanisha nini mkuu
 
Back
Top Bottom