Miaka ya 2000's nlifungua Internet Cafe. Ndipo nlipoanzia kupiga bingo na kupasua mioyo

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,468
23,744
Miaka hiyo kutumia saa moja internet ilikuwa tsh 500 hadi 1000. Kumfungulia mtu email ilikuwa tsh 1,000. Ni miaka ambayo nlitengeneza sana pesa. Maana nlikuwa na ofisi mbili za internet.

Moja sinza na nyingine Kijitonyama. Mi nazunguka tu na Baloon kutembelea ofisi. Watu wanachat kupitia Yahoo Messenger au Hotmail. Miaka hiyo kuna Darhotwire. Huko nako tulikuwa tunakutana na wadau mbalimbali na kuunga udugu au kuanzisha mahusiano.

Maisha tumekula sisi miaka hiyo bwana... Watoto walikuwa wabichi kweli kweli milage unakuta bado ipo vizuri haijaenda sana kama hawa wa sasa. Milage imeenda na kuchoka halafu hawana akili.

Miaka hiyo usingesikia mtu analalamikiwa kibamia au nguvu za kiume. Maana kulikuwa na utoshelevu mzuri. Siyo sasa kumejaa minungayembe mtaani.

Anyway...mimi nlikuwa mjanja miaka hiyo siyo kama siku hizi bwege flani tu mademu wananilia pesa zangu na halafu wanalala mitini. Nlikuwa nipo fresh sana Unyakyusa mwingi sana na Unyamwezi. Mastaa kibao wa miaka hiyo nlifanikiwa kuwa check.

Watangazaji,waimbaji na waigizaji....ukiwacheck sasa wamechoooka. Nami nimechoka kidogo akili sababu ya mibangi. Tumetoka mbali sana. Maisha haya zichange muda huu kama unaweza fainali uzeeni.

Sasa nakula nchi tu huku nakuja tibuana mara moja moja na watu humu JF. Maana mimi ni kama Kubwa Jinga, Kubwa Bwege. Acha maisha yaende. Pesa zipo matumizi tu ndo shida. Sometime unaona ukikosa kitu cha kununua basi ununue hata Ugomvi...
 
Aisee miaka hiyo kuangalia matokeo ni mpaka mbandikiwe shuleni au mmpigie mtu aliyeko Necta tofauti na hapo hamna lkn siku hiz,enzi hizo mwendo wa barua tu na zinapitia posta......tumetoka mbali kwa kweli

Ila mzee ulipiga hela si utani
 
Umeisahau ze utamu
Yeaaah.....upo sahihi ilikuwa maarufu sana miaka hiyo ya 2000s hadi mwishoni jamaa yangu akaja akakamatwa aliyekuwa anendesha ule mtandao. Namfahamu vizuri sana yule bwege.
 
zama na wakati wake.Kipind cha kuweka windows 95- xp zilitupa pesa sana install windows shiling 50000 alafu unawateja kama 20 siku moja.

Kuingiza nyimbo kwenye CD hii madj wa redio walitamba sana kuuza kazi za wasanii.

Playstation 1 na 2 mara ya kwanza pale sinza majaa wawili wameingiza miaka 90's walipiga pesa.

Enzi za kuuza samaki wa bichi mida ya jioni ni wa shua tu.
 
Enzi hizo watu tuna email Hotmail, yahoo, Africa online, lycos mail, etc tuna save webpage zetu www.geocities.com na www.freeservers.com
Nawe ulianza ujanja zamani kumbe.....sema tu siku hizi umechoka kidogo maana nakuona unapotezea mawazo nyuzi za madogo mpaka unakuwa teja. Tutafute sisi wenye pesa tukupe michongo badala ya kukaa kuwasihi madogo wawaletee stories ambazo hazina ukweli.... Halafu sisi mnasema tunatumia majini kupata pesa mkituona na ma Range, ma Audi n.k
 
Mimi ni pensioner kucheza bao sijui wala kukaa vijiweni. Nikimaliza shughuli zangu za shamba na mifugo, naweka miguu juu nazama JF
 
Back
Top Bottom