Miaka niliyoishi si haba

Mwambie nimemuelewa hasa hizo ndevu. Sema tuu ana mtu wake tayari ila ningemfungia safari hadi huko aliko, mie ni mapendo daima tuu hakuna la ziada.[emoji23]
Kasie wewe..[emoji23]

Aabeeehh Mshana, nimesema ukweli wa nafsi yangu..😃, japo ni tabia mbaya ila baada ya kusema niko huru, hata nisipokutana na huyo kaka ishaisha akilini 😉.

Kibaha moja lini? Aka Msata ndogo 😜
 
Mimi
Nimeona Uhaini ukiwa na dhamana. Si haba nami nimeishi
 
Kwakweli ndevu ziheshimiwe .ni ugonjwa wangu pia..🥰
 
Nilidhani umeuelewa wimbo kumbe umemwelewa mwimbaji..!
 
Mi NIMEONA mama akidai malezi KWA mtoto ambaer hakumlea! YAANI anataka alelewe yeye na mtoto ambaer alitengana nae akiwa na miaka saba!!!
 
Nikikumbuka jirani nimemtegeshea shoti!!
Ana tabia ya kuja kukojoa kwenye bustan yangu siku....
Nataka nimfanye asidinde tena.......
Ngoja nifikirie kwanza !!!!
 
Nimeona mtu anapinga rushwa kumbe yeye ndio baba lao kwa kula rushwa. Hii nk zimenifanya nisiwaamini watu acha nimwamini muumba na mm mwenyewe. Nimeona mtu ananisisitiza nisisaliti siku nikioa ila ajqbu akataka nizini naye ilihali ni muke ya wenyewe
i
 
Nimeona Daktari Bingwa wa Masikio na mtoto wake ni kiziwi.
Nimeona mpofu wa macho ila mwingi wa akili na maono na mwenye macho yupo Kama mkokoteni.
Nimeona mnoko akinipondea kwa kwenda kwenye meza ya wasengenyi ila aliponyanyuka yeye aliguezwa mjadala.

Nimeama adui msanii aliyefanana rafiki akanifanyia ubaya kumbe mask ndiyo iliyoanguka na yule hakuwa rafiki.
#MaskOff
 
less judging, more loving....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…