Nimeona Daktari Bingwa wa Masikio na mtoto wake ni kiziwi.
Nimeona mpofu wa macho ila mwingi wa akili na maono na mwenye macho yupo Kama mkokoteni.
Nimeona mnoko akinipondea kwa kwenda kwenye meza ya wasengenyi ila aliponyanyuka yeye aliguezwa mjadala.
Nimeama adui msanii aliyefanana rafiki akanifanyia ubaya kumbe mask ndiyo iliyoanguka na yule hakuwa rafiki.
#MaskOff
Huyu ninae hanijui nataka nimwonyeshe
Mwambie nimemuelewa hasa hizo ndevu. Sema tuu ana mtu wake tayari ila ningemfungia safari hadi huko aliko, mie ni mapendo daima tuu hakuna la ziada.
Kasie wewe..![]()

Mi nmeona mpangaji akinunua nyumba aliyopanga, afu akampangishia aliekuwa mwenye nyumba.Nimeona nyumba ikiuzwa na mpangaji
Mbona kama unatuaga sheikh?Walau naweza kusema nimeona mengi. Nimeona daktari akiumwa saratani ya koo kwa ajili ya matumizi ya vitu anavyokataza wengine.
Kisha nikamuona wakili aliyehukumiwa kwenda jela kwa kosa la kudhulumu mali za yatima na wajane.
Halafu nikapata ile habari yenye maumivu, habari iliyonitoa machozi na kunipa simanzi ya moyo. Kwamba rafiki yangu ambaye ni tabibu wa akili naye kajiua kwa msongo wa mawazo.
We umeona mangapi? Nimeona tabasamu kwa mtu aliyepaswa kulia, halafu nikaona maumivu katika kicheko cha mtu aliyesalitiwa.
Ukiona mtu anakupa faraja, nenda kafanye ibada, kwa kuwa haina maana kila kitu kwake kiko sawa, ila anajali hata akaamua kugawa tawi la kivuli chake katika msiba wa hisia zake.
Maisha sio yale uliyofikiri, maisha ni haya ambayo hesabu zako za shule zinakataa kujaza jedwali la upendo lililo wazi.
Kitu gani umewahi kuona? Ukitaka imani yako iwe na dosari, basi anzisha urafiki na kiongozi wa dini.
Nimeshuhudia vita katika nyumba ya balozi wa amani. Kisha nikaona uongo na ulaghai katika nafsi zilizoapa na kutii.
Halafu nikaona upendo katika sura ya kahaba, halafu baadaye nikashangazwa, nikaoneshwa ukahaba Katika sura ya aliyeitwa muumini.
Ndipo nikaamua kukubali, kuwa tukiamua kuhesabu vya kila mtu hesabu zetu daima hazitofika mwisho.
Angel NylonView attachment 2724878
Mshana, you are a true son of your fatherWalau naweza kusema nimeona mengi. Nimeona daktari akiumwa saratani ya koo kwa ajili ya matumizi ya vitu anavyokataza wengine.
Kisha nikamuona wakili aliyehukumiwa kwenda jela kwa kosa la kudhulumu mali za yatima na wajane.
Halafu nikapata ile habari yenye maumivu, habari iliyonitoa machozi na kunipa simanzi ya moyo. Kwamba rafiki yangu ambaye ni tabibu wa akili naye kajiua kwa msongo wa mawazo.
We umeona mangapi? Nimeona tabasamu kwa mtu aliyepaswa kulia, halafu nikaona maumivu katika kicheko cha mtu aliyesalitiwa.
Ukiona mtu anakupa faraja, nenda kafanye ibada, kwa kuwa haina maana kila kitu kwake kiko sawa, ila anajali hata akaamua kugawa tawi la kivuli chake katika msiba wa hisia zake.
Maisha sio yale uliyofikiri, maisha ni haya ambayo hesabu zako za shule zinakataa kujaza jedwali la upendo lililo wazi.
Kitu gani umewahi kuona? Ukitaka imani yako iwe na dosari, basi anzisha urafiki na kiongozi wa dini.
Nimeshuhudia vita katika nyumba ya balozi wa amani. Kisha nikaona uongo na ulaghai katika nafsi zilizoapa na kutii.
Halafu nikaona upendo katika sura ya kahaba, halafu baadaye nikashangazwa, nikaoneshwa ukahaba Katika sura ya aliyeitwa muumini.
Ndipo nikaamua kukubali, kuwa tukiamua kuhesabu vya kila mtu hesabu zetu daima hazitofika mwisho.
Angel NylonView attachment 2724878

Hii inahitaji akili nyingi kuing'amua. Basi tuseme nini Mshana Jr zaidi ya EreHoa?Walau naweza kusema nimeona mengi. Nimeona daktari akiumwa saratani ya koo kwa ajili ya matumizi ya vitu anavyokataza wengine.
Kisha nikamuona wakili aliyehukumiwa kwenda jela kwa kosa la kudhulumu mali za yatima na wajane.
Halafu nikapata ile habari yenye maumivu, habari iliyonitoa machozi na kunipa simanzi ya moyo. Kwamba rafiki yangu ambaye ni tabibu wa akili naye kajiua kwa msongo wa mawazo.
We umeona mangapi? Nimeona tabasamu kwa mtu aliyepaswa kulia, halafu nikaona maumivu katika kicheko cha mtu aliyesalitiwa.
Ukiona mtu anakupa faraja, nenda kafanye ibada, kwa kuwa haina maana kila kitu kwake kiko sawa, ila anajali hata akaamua kugawa tawi la kivuli chake katika msiba wa hisia zake.
Maisha sio yale uliyofikiri, maisha ni haya ambayo hesabu zako za shule zinakataa kujaza jedwali la upendo lililo wazi.
Kitu gani umewahi kuona? Ukitaka imani yako iwe na dosari, basi anzisha urafiki na kiongozi wa dini.
Nimeshuhudia vita katika nyumba ya balozi wa amani. Kisha nikaona uongo na ulaghai katika nafsi zilizoapa na kutii.
Halafu nikaona upendo katika sura ya kahaba, halafu baadaye nikashangazwa, nikaoneshwa ukahaba Katika sura ya aliyeitwa muumini.
Ndipo nikaamua kukubali, kuwa tukiamua kuhesabu vya kila mtu hesabu zetu daima hazitofika mwisho.
Angel NylonView attachment 2724878
haya ni mawazo ya mlevi akyamungu tenaWalau naweza kusema nimeona mengi. Nimeona daktari akiumwa saratani ya koo kwa ajili ya matumizi ya vitu anavyokataza wengine.
Kisha nikamuona wakili aliyehukumiwa kwenda jela kwa kosa la kudhulumu mali za yatima na wajane.
Halafu nikapata ile habari yenye maumivu, habari iliyonitoa machozi na kunipa simanzi ya moyo. Kwamba rafiki yangu ambaye ni tabibu wa akili naye kajiua kwa msongo wa mawazo.
We umeona mangapi? Nimeona tabasamu kwa mtu aliyepaswa kulia, halafu nikaona maumivu katika kicheko cha mtu aliyesalitiwa.
Ukiona mtu anakupa faraja, nenda kafanye ibada, kwa kuwa haina maana kila kitu kwake kiko sawa, ila anajali hata akaamua kugawa tawi la kivuli chake katika msiba wa hisia zake.
Maisha sio yale uliyofikiri, maisha ni haya ambayo hesabu zako za shule zinakataa kujaza jedwali la upendo lililo wazi.
Kitu gani umewahi kuona? Ukitaka imani yako iwe na dosari, basi anzisha urafiki na kiongozi wa dini.
Nimeshuhudia vita katika nyumba ya balozi wa amani. Kisha nikaona uongo na ulaghai katika nafsi zilizoapa na kutii.
Halafu nikaona upendo katika sura ya kahaba, halafu baadaye nikashangazwa, nikaoneshwa ukahaba Katika sura ya aliyeitwa muumini.
Ndipo nikaamua kukubali, kuwa tukiamua kuhesabu vya kila mtu hesabu zetu daima hazitofika mwisho.
Angel NylonView attachment 2724878
asante sana mwaaanikeMshana, on a serious note, mimi huyo mkaka tuu anayeimba na hiyo kofia yake.
Mwambie nimemuelewa hasa hizo ndevu. Sema tuu ana mtu wake tayari ila ningemfungia safari hadi huko aliko, mie ni mapendo daima tuu hakuna la ziada.
Back to the topic, nimeona mtoto chini ya miaka 10 ana busara kuliko wazazi wake kiasi cha kuongea na mchungaji namna aongee na wazazi wake waache mabishano kwani hayuko tayari kulelewa mtoto wa kambo na wao wanaendekeza starehe zao.