ShukranKaribu tena
😂😂😂Jpo sijausoma uzi mpaka mwisho[emoji23]
MindsetNimeona mtz [emoji16][emoji16] mwenye degree akienda omba utajiri kwa mganga ambae
Analala kwenye nyumba ya nyasi [emoji3061][emoji3061]
Hiii imeenda!!!Mi nmeona mpangaji akinunua nyumba aliyopanga, afu akampangishia aliekuwa mwenye nyumba.
Pamoja sana tamuuuuu [emoji173][emoji173][emoji173]Nimepata somo kubwa sana,asante kaka mshana