Miaka niliyoishi si haba

Miaka niliyoishi si haba

Walau naweza kusema nimeona mengi. Nimeona daktari akiumwa saratani ya koo kwa ajili ya matumizi ya vitu anavyokataza wengine.

Kisha nikamuona wakili aliyehukumiwa kwenda jela kwa kosa la kudhulumu mali za yatima na wajane.

Halafu nikapata ile habari yenye maumivu, habari iliyonitoa machozi na kunipa simanzi ya moyo. Kwamba rafiki yangu ambaye ni tabibu wa akili naye kajiua kwa msongo wa mawazo.

We umeona mangapi? Nimeona tabasamu kwa mtu aliyepaswa kulia, halafu nikaona maumivu katika kicheko cha mtu aliyesalitiwa.

Ukiona mtu anakupa faraja, nenda kafanye ibada, kwa kuwa haina maana kila kitu kwake kiko sawa, ila anajali hata akaamua kugawa tawi la kivuli chake katika msiba wa hisia zake.

Maisha sio yale uliyofikiri, maisha ni haya ambayo hesabu zako za shule zinakataa kujaza jedwali la upendo lililo wazi.

Kitu gani umewahi kuona? Ukitaka imani yako iwe na dosari, basi anzisha urafiki na kiongozi wa dini.

Nimeshuhudia vita katika nyumba ya balozi wa amani. Kisha nikaona uongo na ulaghai katika nafsi zilizoapa na kutii.

Halafu nikaona upendo katika sura ya kahaba, halafu baadaye nikashangazwa, nikaoneshwa ukahaba Katika sura ya aliyeitwa muumini.

Ndipo nikaamua kukubali, kuwa tukiamua kuhesabu vya kila mtu hesabu zetu daima hazitofika mwisho.

Angel Nylon
emoji177.png
View attachment 2724878
Aisee!

Angel Nylon View attachment 2724878
Ujumbe mororo!
 
Kabisa...umdhaniae ndiye aliye...kumbe ndiye siye,aliye,ndiye siye alie ndiye....siye...aliye.....
 
Baada ya miaka 100 toka leo...haya yoote tunayo hangaikia.....hayatakuwa na maana hata chembe....mahusiano....fedha....mali.....n.k.
 
Walau naweza kusema nimeona mengi. Nimeona daktari akiumwa saratani ya koo kwa ajili ya matumizi ya vitu anavyokataza wengine.

Kisha nikamuona wakili aliyehukumiwa kwenda jela kwa kosa la kudhulumu mali za yatima na wajane.

Halafu nikapata ile habari yenye maumivu, habari iliyonitoa machozi na kunipa simanzi ya moyo. Kwamba rafiki yangu ambaye ni tabibu wa akili naye kajiua kwa msongo wa mawazo.

We umeona mangapi? Nimeona tabasamu kwa mtu aliyepaswa kulia, halafu nikaona maumivu katika kicheko cha mtu aliyesalitiwa.

Ukiona mtu anakupa faraja, nenda kafanye ibada, kwa kuwa haina maana kila kitu kwake kiko sawa, ila anajali hata akaamua kugawa tawi la kivuli chake katika msiba wa hisia zake.

Maisha sio yale uliyofikiri, maisha ni haya ambayo hesabu zako za shule zinakataa kujaza jedwali la upendo lililo wazi.

Kitu gani umewahi kuona? Ukitaka imani yako iwe na dosari, basi anzisha urafiki na kiongozi wa dini.

Nimeshuhudia vita katika nyumba ya balozi wa amani. Kisha nikaona uongo na ulaghai katika nafsi zilizoapa na kutii.

Halafu nikaona upendo katika sura ya kahaba, halafu baadaye nikashangazwa, nikaoneshwa ukahaba Katika sura ya aliyeitwa muumini.

Ndipo nikaamua kukubali, kuwa tukiamua kuhesabu vya kila mtu hesabu zetu daima hazitofika mwisho.

Angel Nylon View attachment 2724878
Daaah Mshana Unajua, Kweli umeyaona mengi Mkuu.
 
Miaka michache iliyopita nilibahatika kutembelea America, Washington State.

Washington huwa kuna baridi, na siku niliyofika ndio usiseme, ilikuwa baridi sana, bahati mbaya nikawa na kikohozi huku nikiwa najisikia na kahoma fulani hivi. Haikuni simamisha kutaka kutoka na kuona mji.

Hatahivyo kama kawaida nikameza dawa yangu Panadol, na huyo nikaingia Mtaani Nikaingia kwenye mgahawa nikavuta kigoda na kuagizia 'Tea' na uzuri nikaona "Chai Masala" kwenye menu, nikagusa tu kuashiria ndicho nilichokuwa nahitaji pale. Nilipata chai yangu, taratibu nikaanza kunywa napepesa pepesa, ghafla, nikapiga chafya, wakaniambia 'Bless you' na kwa ukarimu nikaitikia tu, 'sank you' huku mmoja wa nilio kaa naye karibu kwenye vigoda akasema 'I hope its not a cold' nikaitikia tu 'yes', 'its very cold' (sikuwa nimeelewa vizuri) Haikuishia hapo, mzee mmoja wa makamo akanisogelea na kuninong'oneza, alisema ' In Washington State, it is illegal to walk around in public if you have a common cold' hapo ndiyo ilikuwa Aha moment yangu, kumbe, "Common cold" Yaani akimaanisha Homa ya mafua.
Aloo,nilishikwa na butwaa, nikasimama taratibu na kuondoka kurudi hotelini, ka mwendo hivi, kwa miguu, ka dakika tano sita tu lakini njiani kila nikiona Polisi naomba nisipige chafya nikakamatwa kwakuwa na homa ya mafua.

Wacheni. Duniani kuna mambo, na nimeona na kusikia mengi, lakini haya ya huyo Bro wetu Mshana Jr, Aloo ni ya kufikirisha zaidi.
 
Walau naweza kusema nimeona mengi. Nimeona daktari akiumwa saratani ya koo kwa ajili ya matumizi ya vitu anavyokataza wengine.

Kisha nikamuona wakili aliyehukumiwa kwenda jela kwa kosa la kudhulumu mali za yatima na wajane.

Halafu nikapata ile habari yenye maumivu, habari iliyonitoa machozi na kunipa simanzi ya moyo. Kwamba rafiki yangu ambaye ni tabibu wa akili naye kajiua kwa msongo wa mawazo.

We umeona mangapi? Nimeona tabasamu kwa mtu aliyepaswa kulia, halafu nikaona maumivu katika kicheko cha mtu aliyesalitiwa.

Ukiona mtu anakupa faraja, nenda kafanye ibada, kwa kuwa haina maana kila kitu kwake kiko sawa, ila anajali hata akaamua kugawa tawi la kivuli chake katika msiba wa hisia zake.

Maisha sio yale uliyofikiri, maisha ni haya ambayo hesabu zako za shule zinakataa kujaza jedwali la upendo lililo wazi.

Kitu gani umewahi kuona? Ukitaka imani yako iwe na dosari, basi anzisha urafiki na kiongozi wa dini.

Nimeshuhudia vita katika nyumba ya balozi wa amani. Kisha nikaona uongo na ulaghai katika nafsi zilizoapa na kutii.

Halafu nikaona upendo katika sura ya kahaba, halafu baadaye nikashangazwa, nikaoneshwa ukahaba Katika sura ya aliyeitwa muumini.

Ndipo nikaamua kukubali, kuwa tukiamua kuhesabu vya kila mtu hesabu zetu daima hazitofika mwisho.

Angel Nylon View attachment 2724878
Amegawa Tawi la kivuli chake....! Mungu awabariki..
 
Interesting...
 
Najua uliisha ni sahau lakini mimi nakukumbuka nimefurahi kuona bado unaendeleza mambo yako. Nilipotea kwa miaka mitatu , nimerejea juzi duniani.
Nilipotea kwa miaka mitatu , nimerejea juzi duniani.

Ni kweli sijakuona muda sana!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom