Kabisa,,kusimamisha upandaji wa madaraja yule mtu sijui aliwaza nini,,Watumishi wa umma kwa pamoja tunasema aoze salama
aliamua tufunge mikanda tusonge mbele wandugu sio kwa nia mbayaKabisa,,kusimamisha upandaji wa madaraja yule mtu sijui aliwaza nini,,
Ila kwa yeye kupiga dili za miradi mikubwa alikuwa sagihi?aliamua tufunge mikanda tusonge mbele wandugu sio kwa nia mbaya
Inawezekana akawa bado yupo shuleni chuoni na wala hajulikani sana 🙌👍labda makonda au mimi tu
Anawaambia watoto wa wenzie wajiajiri, halafu ndugu zake na wanae alikuwa anawapa vitengo pumbavu sana....naanza na Musa magufuri aliekuwa mwalimu wa chuo Cha maendeleo ya jamii Buhare Musoma leo anakula shushu wizara ya madini na kufundisha aliishasahu jamaa alikuwa ni bonge la kilaza kwa wale waliopitia chuo Cha maendeleo ya jamii Buhare ni mashahidi. Mwingine ni Jesca magufuri, huyu mtoto wa magufuri alifeli kwa kupata division four lakini leo yupo wizara ya madini kama afisa muajiri(HR) kwenye ofisini flani na mkoa flani, na mwingine ni Judith magufuri huyu yeye alikuwa ni (das) wilaya flani huko morogoro nawafahamu wengi Tu lakini kwa leo niishie hapa....
Ni kitu gani Tanzania tulifanya wakati wa magu ambacho hatukukipata bila msaada au mkopo kutoka kwa Beberu?Results za sustainable development hazipimwe kwa mawazo na nadharia za viongozi au kupelekea kuundwa sera zisizo tekelezeka. Huo ndio ulikuwa uongozi wa Nyerere wakinadharia tu na itikadi performance na social impact Hakuna.
Magufuli was something else a doer, tunajenga; tunajenga hakuna hadithi nyingine. Umeme aukatiki au katwi.
Tunajitegemea, tutajitegenea bila ya misaada; ikibidi kukopa private banks. Sasa kukopa private banks inabidi vitabu vyako vya balance sheet na cashflow viwe sawa.
Misaada wazungu wanaitumia kama soft power, ukizingua wanaikata kwa sababu wewe ni tegemezi ukilia njaa baada ya kukatiwa. Ili wakurudishie masharti ni kufanya abc wanavyotaka wao.
Huo upuuzi Magufuli alisema no, hamuwezi tumia soft power ya misaada kutupangia moral value zetu au maamuzi yetu ya kuendesha nchi.
Magufuli was a man and a half, ni watu wa hovyo tu serikalini, majizi na sakapoko ambao uchangiaji wao JF unategemea vocha za watu wanaowapangia cha kuandika JF wanaweza mtukana Magufuli.
Magufuli hakuwa wa mzaha-zaha kabisa, R.I.P.
Cha msingi hapa ni weruvu hapa ni huko TISS kupanga succession planning sahihi.Ni kitu gani Tanzania tulifanya wakati wa magu ambacho hatukukipata bila msaada au mkopo kutoka kwa Beberu?
Unaongea ufala tu bora unyamaze tuDah watu mnajua kusagia dah ila mm la kutoajiri kwa mkupuo kutopandisha madaraja na mishahara nishia hapa
1. Ben SaananeTutakukumbuka daima Baba.
1.SGR ( Dar-Moro-Dom-Dar),
2. Mwl Nyerere HEP,
3. ATC,
4. Rushwa (imerudi upya).
Miafrica mijinga tuu na haipendani.Hii Tanzania ilikuwa na raisi mmoja TU ambaye ni John Joseph magufuri mwamba wa Africa,utakuwa mjinga wa viwango gani unayeshindwa kukunari kazi kubwa aliyoifanya...trump anatufundisha tusiwe watu wa kuombaomba tutengeneze uchumi wetu wa nchi sio kutegemea misada na magufuri aliongea sana na kuasa nchi za Africa kuwa wamoja.
Uwe mnufaikaji wa system iliyopo sasa, vinginevyo kumsagia kunguni Magufuli ni upunguani.1. Ben Saanane
2. Azory gwanda
3. MKIRU
4. COCO BEACH HUMAN CORPSES
kwa vile hakumuua mama yakoUwe mnufaikaji wa system iliyopo sasa, vinginevyo kumsagia kunguni Magufuli ni upunguani.
Besides kwa long term prosperity ya Tanzania inabidi nchi ijipange kwa kuandaa viongozi sahihi na watu wenye.
Kwa siasa za Tanzania na 80% ya uwezo wa viongozi nchi aichomoki.
Mengine ni ujinga tu mnao jijaza kwa kudhani kazi ya kuongoza nchi ni rahisi.
Magufuli was very special
Alimuua mama yake nani? Kwa mfano.kwa vile hakumuua mama yako
Maneno mengiii! Hujajibu swali langu. Wewe utakuwa muathirika wa uongo wa ccm. Ccm na viongozi wake wamekuwa wakitudanganya Watanzania tangu uhuru mpaka Leo.Cha msingi hapa ni weruvu hapa ni huko TISS kupanga succession planning sahihi.
Na shughuli za usalama wa nchi na mustakali wake ni mchezo wa watu wenye akili.
Kwa sababu mtu kama wewe ata nikikwambia faida ya serikali kuweka hela bank na kukopeshwa hela zake bank inazonunulia government security, uwezi kuona logic ya hoja.
Kinachohitajika Tanzania ni team ya technocrat kubaini mapungufu ya management issue za taifa, kupanga mikakati na kufanya kazi.
Kusikiliza mabishano ya hoja za hovyo kama yako ni kupoteza muda tu, na hizi ndio akili za watanzania.
Magufuli was special