Results za sustainable development hazipimwe kwa mawazo na nadharia za viongozi au kupelekea kuundwa sera zisizo tekelezeka. Huo ndio ulikuwa uongozi wa Nyerere wakinadharia tu na itikadi performance na social impact Hakuna.
Magufuli was something else a doer, tunajenga; tunajenga hakuna hadithi nyingine. Umeme aukatiki au katwi.
Tunajitegemea, tutajitegenea bila ya misaada; ikibidi kukopa private banks. Sasa kukopa private banks inabidi vitabu vyako vya balance sheet na cashflow viwe sawa.
Misaada wazungu wanaitumia kama soft power, ukizingua wanaikata kwa sababu wewe ni tegemezi ukilia njaa baada ya kukatiwa. Ili wakurudishie masharti ni kufanya abc wanavyotaka wao.
Huo upuuzi Magufuli alisema no, hamuwezi tumia soft power ya misaada kutupangia moral value zetu au maamuzi yetu ya kuendesha nchi.
Magufuli was a man and a half, ni watu wa hovyo tu serikalini, majizi na sakapoko ambao uchangiaji wao JF unategemea vocha za watu wanaowapangia cha kuandika JF wanaweza mtukana Magufuli.
Magufuli hakuwa wa mzaha-zaha kabisa, R.I.P.