Kwa mazuri aliyotufanyia watanzania wapenda maendeleo na siyo mafisadi na majizi kama wewe tunaona ni sahihi kabisa ndugu zake kupewa vitengo maana sifa wanazoAnawaambia watoto wa wenzie wajiajiri, halafu ndugu zake na wanae alikuwa anawapa vitengo pumbavu sana....naanza na Musa magufuri aliekuwa mwalimu wa chuo Cha maendeleo ya jamii Buhare Musoma leo anakula shushu wizara ya madini na kufundisha aliishasahu jamaa alikuwa ni bonge la kilaza kwa wale waliopitia chuo Cha maendeleo ya jamii Buhare ni mashahidi. Mwingine ni Jesca magufuri, huyu mtoto wa magufuri alifeli kwa kupata division four lakini leo yupo wizara ya madini kama afisa muajiri(HR) kwenye ofisini flani na mkoa flani, na mwingine ni Judith magufuri huyu yeye alikuwa ni (das) wilaya flani huko morogoro nawafahamu wengi Tu lakini kwa leo niishie hapa....
Mkuu ukiona myanzania anamponda Magu tambua hao ndo wale ukoo wa panya .Baba Fisadi,Mama Fisadi na watoto mafisadiHii Tanzania ilikuwa na raisi mmoja TU ambaye ni John Joseph magufuri mwamba wa Africa,utakuwa mjinga wa viwango gani unayeshindwa kukunari kazi kubwa aliyoifanya...trump anatufundisha tusiwe watu wa kuombaomba tutengeneze uchumi wetu wa nchi sio kutegemea misada na magufuri aliongea sana na kuasa nchi za Africa kuwa wamoja.
Sukuma GangJiwe
Chuma
Mzilankende
Hii Bhaghoshs. JPM
Chapa Ng'ombe
Baba Jesca
Dkt John Pombe Joseph Magufuli
Nitalala Nao Mbele, Mtumbua Majipu Popote Yalipo
Nami nakazia !bora kufa umesimama
kuliko kuishi unatambaa
Kumbe hata Uwaziri hajawapa!Kwa mazuri aliyotufanyia watanzania wapenda maendeleo na siyo mafisadi na majizi kama wewe tunaona ni sahihi kabisa ndugu zake kupewa vitengo maana sifa wanazo
Dah watu mnajua kusagia dah ila mm la kutoajiri kwa mkupuo kutopandisha madaraja na mishahara nishia hapaAtakumbukwa kwa kuua watu?
Jiwe walilolikataa . . . .!Jiwe
Chuma
Mzilankende
Hii Bhaghoshs. JPM
Chapa Ng'ombe
Baba Jesca
Dkt John Pombe Joseph Magufuli
Nitalala Nao Mbele, Mtumbua Majipu Popote Yalipo
Limekuwa Jiwe Kuu La PembeniJiwe walilolikataa . . . .!
Embu tutolee balaa hapa. Mungu katunusuru na kimeo unajifanya kukumbuka ushuzi. Hiyo miradi ushasoma report za CAG? ni hasara. Yule alikuwa mharibifu wa uchumi na hatari kwa wanaompinga.Tutakukumbuka daima Baba.
1.SGR ( Dar-Moro-Dom-Dar),
2. Mwl Nyerere HEP,
3. ATC,
4. Rushwa (imerudi upya).
Chema huwa hakidumu kwa sababu huwa hakipendwi na wabaya !View attachment 3273536
Tanzania and sub-Sahara Africa
first ever president to attempt seriously on self sustainable economic progress.
What a legend, R.I.P Magufuli; chema hakidumu.
Umesahau Nyerere naye alijaribu kujenga mfumo wa uchumi wa Ujamaa na Kujitegemea?View attachment 3273536
Tanzania and sub-Sahara Africa
first ever president to attempt seriously on self sustainable economic progress.
What a legend, R.I.P Magufuli; chema hakidumu.
Results za sustainable development hazipimwe kwa mawazo na nadharia za viongozi au kupelekea kuundwa sera zisizo tekelezeka. Huo ndio ulikuwa uongozi wa Nyerere wakinadharia tu na itikadi performance na social impact Hakuna.Umesahau Nyerere naye alijaribu kujenga mfumo wa uchumi wa Ujamaa na Kujitegemea?
labda makonda au mimi tuBaada ya miaka 15 ijayo natabiri Chuma kingine kuliko JPM kitatia team ndani ya Nyumba !
Itakuwa patashika nguo kuchanika !
And that time huyo Mwamba hatofanya makosa !
Atalala nao mbele kwa mbele mahasimu wake before it’s too late for him 😳 !