Miaka 8 bila kutongozwa

Miaka 8 bila kutongozwa

Miaka yote hiyo nyufa inaweza kuwa imegandana au buibui kibao... na ile kitu isipotumika sana huwa na Bakteria hatari mwanaume akiingia lazima awabebe na kumsumbua
unafk

unaongea vitu vya uongo bila utafit toka hapa huna lolote hizo taarifa umezitoa wap
 
Hivi jamani inakuwaje binti akae muda wote huo bila kutongozwa?

Binti kakamilika kila idara, shepu pia ipo, kazi inayomwongizia kipato anayo tatizo analalamika hatongozwi, anadai katika maisha yake yote katongozwa Mara 2 Tu . Umri umeenda sasa anahitaji mume la kumuweka ndani hapati maana hata wa kumtongoza hayupo.
mwambie awe social....acjidai dai...
 
unafk

unaongea vitu vya uongo bila utafit toka hapa huna lolote hizo taarifa umezitoa wap
Hutaki? unataka nikuambie kuwa Taarifa hizo nimetoa kwa dadako? mkuu maswali mengine usidadisi sana... Kasome Shule utaelewa Bakteria kwenye Uke wakikaa sana nini kinatokea baadae...
 
Anadai tangu anaanza la kwanza hadi la Saba, hakutongozwa, kaenda form one hadi four shule ilikuwa mchanganyiko hakuwahi hata kujaribiwa hata kwa utani kutongozwa, kaenda form five hadi six tena boarding mchnganyiko nako PIA hakutongozwa hadi anamaliza.
Chuo hadi anamaliza hata WA kumwambia njoo unywe soda hakuwahi kupata hadi anamaliza, hadi mtaani ndo hivo
Hoja rahisi atongoze yeye mwenyewe. Tatizo Africa eti mpaka atongoze mwanaume !!? Atongoze yeye
 
Atakuwa mmoja wa wale mademu wenye ndevu, siipendi midemu yenye ndevu hata kuisemesha tu uongo!
 
Amepigwa kimavi. Omba omba Dana watu wao sembuse yy. ?.
 
Jibu limekwisha tolewa ana mume wa kiroho ,muulize kama ana hamu ya kugegedwa ,je amesha wahi kupenda mwanaume ghafla ikabadilika. Majibu mawili yatakupa muelekeo
 
Jibu limekwisha tolewa ana mume wa kiroho ,muulize kama ana hamu ya kugegedwa ,je amesha wahi kupenda mwanaume ghafla ikabadilika. Majibu mawili yatakupa muelekeo
Sasa afanyeje
 
Hutaki? unataka nikuambie kuwa Taarifa hizo nimetoa kwa dadako? mkuu maswali mengine usidadisi sana... Kasome Shule utaelewa Bakteria kwenye Uke wakikaa sana nini kinatokea baadae...
Punguza hasira kijana just be cool
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom