Miaka 8 bila kutongozwa

Miaka 8 bila kutongozwa

Amepoteza mvuto huyo,mwambie aje kwangu,nikimuweka chumvi fasta wanaume wanaanza kumfata km nzi anavofata.......
 
Hivi jaman inakuwaje binti akae muda wote huo bila kutongozwa?
Binti kakamilika kila idara, shepu pia ipo, kazi inayomwongizia kipato anayo tatizo Analalamika hatongozwi, anadai katika maisha yake yote katongozwa Mara 2 Tu . Umri umeenda sasa anahitaji dume la kumuweka ndani hapati maana hata WA kumtongoza hayupo.
Mtongoze umpunguzie mawazo
 
Jamani!!! Mambo ya ushirikina hayo. Wengine wanaume wakiwaona na kutaka kuwatongoza wanawaona kama vibibi na wengine wanawekewa sura za ajabu ili wasitongozwe.
Pili inaweza kua ni jini mahaba. Haya madudu hayapendi kushea mwanamke.
Aende kwenye maombi! Akazane na maombi na Mungu atamfungua.
 
Mwambie upunguze unene watu sikuhizi kutongoza matinginya ya nini? Mazoezi afanye hadi apungue na aache mambo ya kidume dume ndio maana haeleweki.

Atoe offer kwanza aone kama watu pia watakauka au lah... Nipe Namba yake
Bwana usiseme hivyo
Kuna wanaume wanapenda hao vibonge, nna rafiki yangu ni kifutu haswaaa ila kaolewa juzi kati hapo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom