Miaka 8 bila kutongozwa

Miaka 8 bila kutongozwa

Mleta mada atakuwa ni mzushi... how come umtongezeshe demu bila yeye mwenyewe kufahamu na pamoja na kuulizwa maswali hakuna majibu.... so tuelezee wewe ndie Demu hujatongozwa miaka hiyo tu acha ukuwadi kama sio... Mod fungeni huu upuuzi
 
Hivi jamani inakuwaje binti akae muda wote huo bila kutongozwa?

Binti kakamilika kila idara, shepu pia ipo, kazi inayomwongizia kipato anayo tatizo analalamika hatongozwi, anadai katika maisha yake yote katongozwa Mara 2 Tu . Umri umeenda sasa anahitaji mume la kumuweka ndani hapati maana hata wa kumtongoza hayupo.
Alete namba mana namm nimkaa masaa 8 bla kutongoza niupdate madini yangu
 
Ww muhongo mm tu mwanaume na sura mbaya ila simalizi wiki demu ajanipiga saundi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom