Miaka 8 bila kutongozwa

Miaka 8 bila kutongozwa

Hii inawezekana sana wala sion ajabu.Inawezekana ndani ya miaka hyo nane ipo miaka ya uanafunzi na hii kama alisoma boarding school (girls),mazingira anayofanyia kazi labda wote wameoa na wapo wachache.Tatu yawezekana hajichanganyi na watu wengine yaan yuko busy sana esp kama n mambo safi. Kikubwa awe social,achangamane na watu. Mwisho amwombe Mungu amkutanishe na mwanaume ambaye amemoangia kuwa mume wake.
 
Miaka 8? Wanatongozwa kina Wendy Williams, Gabourey Sidibe, Miss Nat...nvm, yeye kakosa nini?

2D98B4C600000578-3281319-image-a-18_1445357344893.jpg

rs_634x1024-150107104511-634.Gabourey-Sibide-Fashion-Police.jl.010715.jpg
 
Anadai tangu anaanza la kwanza hadi la Saba, hakutongozwa, kaenda form one hadi four shule ilikuwa mchanganyiko hakuwahi hata kujaribiwa hata kwa utani kutongozwa, kaenda form five hadi six tena boarding mchnganyiko nako PIA hakutongozwa hadi anamaliza.
Chuo hadi anamaliza hata WA kumwambia njoo unywe soda hakuwahi kupata hadi anamaliza, hadi mtaani ndo hivo
 
Bwana usiseme hivyo
Kuna wanaume wanapenda hao vibonge, nna rafiki yangu ni kifutu haswaaa ila kaolewa juzi kati hapo.
Eeenh dah huyo Kifutu ana bahati zake asije kuwa katumia bwata ndoa hazidumugi... na wengine hununua Ndoa tu akishazaa mume atafute zake dah! Canada Matinginya ndio yanateseka na pa kukimbilia ni kwa wanaume Weusi... Sema wanakuwa ni ma Sugarmami..... Bongo Masugarmami nayo yanadeka kama vimodel kha!
 
Anatongozwa sana! labda hajui kutongozwa ni nini, huenda anadhani kutongozwa ni kuingiliwa kinyume na maumbile.
 
Afuatilie kipindi kinaitwa how do l look kweye televisheni atapata jibu
 
inategemeana sasa anaogaa kweli au anatania?maana asije akawa ana undugu na uyu harmo nan sijui au akothee
 
Ana nyodo huyo ndio sababu ,hebu weka namba yake hapa kwanza
 
Mwambie upunguze unene watu sikuhizi kutongoza matinginya ya nini? Mazoezi afanye hadi apungue na aache mambo ya kidume dume ndio maana haeleweki.

Atoe offer kwanza aone kama watu pia watakauka au lah... Nipe Namba yake
Mkuu hiyo sentensi ya mwisho naimani ndio lilikuwa lengo lako kuu
 
Nao
Hivi jamani inakuwaje binti akae muda wote huo bila kutongozwa?

Binti kakamilika kila idara, shepu pia ipo, kazi inayomwongizia kipato anayo tatizo analalamika hatongozwi, anadai katika maisha yake yote katongozwa Mara 2 Tu . Umri umeenda sasa anahitaji mume la kumuweka ndani hapati maana hata wa kumtongoza hayupo.
Naomba contact zake,,uaweza kuja kuja kushiriki part
 
Hivi jamani inakuwaje binti akae muda wote huo bila kutongozwa?

Binti kakamilika kila idara, shepu pia ipo, kazi inayomwongizia kipato anayo tatizo analalamika hatongozwi, anadai katika maisha yake yote katongozwa Mara 2 Tu . Umri umeenda sasa anahitaji mume la kumuweka ndani hapati maana hata wa kumtongoza hayupo.
Hebu nipe namba yake nianze kitupia mistari kidogo kidogo aisee
 
Huyo atakua anadinywa na yale majitu ya usiku so yamempa nuksi ndio maana hatongozwi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom