Miaka 8 bila kutongozwa

Miaka 8 bila kutongozwa

Amshukuru munhu wake kwa kumuepusha na wadanganyi na wazinz,,,aendelee hvyo hvyo mpka mwsho,,lakin je nyuzi anazo au?
 
We mwenyewe mkuu umeshindwa kumtongoza, atakua na matatizo yake
 
Hivi jamani inakuwaje binti akae muda wote huo bila kutongozwa?

Binti kakamilika kila idara, shepu pia ipo, kazi inayomwongizia kipato anayo tatizo analalamika hatongozwi, anadai katika maisha yake yote katongozwa Mara 2 Tu . Umri umeenda sasa anahitaji mume la kumuweka ndani hapati maana hata wa kumtongoza hayupo.
Bushland si ungemtongoza wewe au ni ndugu yako? na kwa maana hiyo ina maana hajadinywa kipindi chote hicho?
 
Wewe umeshindwa nini mpaka uje utuambie sisi, BE A MAN
 
Jinsi ulivoileta mada watu wamejua ni dume ndio maana ukaambiwa kwa nini usimtongoze wewe.
 
Hana mkosi wowote huyo ww weka mawasiliano yake uone wadau watakavyomparamia hadi atakosa wa kuchagua
 
Anachagua wanaume kama mamdogo wangu hatimae alikuja kuzalishwa na kajamaa ka ajabu mambo ya ndoa ndo ikawa basiiiii
 
Hivi jamani inakuwaje binti akae muda wote huo bila kutongozwa?

Binti kakamilika kila idara, shepu pia ipo, kazi inayomwongizia kipato anayo tatizo analalamika hatongozwi, anadai katika maisha yake yote katongozwa Mara 2 Tu . Umri umeenda sasa anahitaji mume la kumuweka ndani hapati maana hata wa kumtongoza hayupo.
NIPE NAMBA YA HUYO DADA
 
weka picha zake humu ili tuthaminishe kama yuko vzr
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom