Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,663
This is too childish
That is neither here, nor there.Tunajua unajua kusema na kuandika kiingereza mzee baba!
Chizi akikimbia na nguo zako ili na ww usionekane chizi inabidi uachane nae kulinda heshima yako. Kwahiyo kwa upupu huu ulipoandika naamua niachane na ww ili kulinda heshima yangWewe ni chootu tena chakike
Jinga sana wewe heshima unaweza kuitukana nji yako au nawe ushakuwa bwabwa!Chizi akikimbia na nguo zako ili na ww usionekane chizi inabidi uachane nae kulinda heshima yako. Kwahiyo kwa upupu huu ulipoandika naamua niachane na ww ili kulinda heshima yang
Kweli namuuanga mkono Mh Trump. Comments zake nyengine naziamini. Hebu fikiri, huyu naye anajiona yuko juuuu sana. Ulimbukeni ni mmbaya sana.
Kwenu ni kuzuri tu hata ukae miaka ngapi nje, lazima utamani kurudi kwenyu tu. Tuseme huna mawasiliano hata kidogo na kwenu?? Mtu akikutana na weye sasa nadhani kiswahili utaona aibu kabisa kukisema.
Miaka saba unajiona umekaaa kabisa ukasahau kwenu. Ngoja ije siku urudi hapa kama utatamani kwenda nje. I have never seen such a beautiful country like Tanzania. Nenda uendako. Huwezi fananisha nchi yeyote na Tz.
Aisifiae mvua ujue imemnyeshea, ww utakuwa mmoja wa hao mabwabwa ndomana umekimbilia kuwataja hapa JFJinga sana wewe heshima unaweza kuitukana nji yako au nawe ushakuwa bwabwa!
Unajipongeza kuingia kwenye raha mstarehe na kuondokana na matatizo ya "shithole" barani Afrika. Nina uhakika unakumbuka sana nyumbani pamoja na kwamba unatusema sisi tunaishi kwenye "shithole". Ni nini kinachokufanya ukumbuke "shithole" wakati uko kwenye raha mstarehe mbali na "shithole"? Sema kinachokuwasha kwenye dhamira yako. Tunakutakia heri na baraka zote kwenye miraha mingi huko ughaibuni lakini utuache sisi na matatizo yetu hapa "shithole".Kwanza nianze kuwasalim wote mliopo humu na wale ambao hawakubahatika kuingia humu leo, najua siku wakiingia watazipata salamu zao.
Dhumuni la kuandika uzi huu kwanza kbs ni kumshukuru mola muumba kwa kunifikisha hapa nilipo leo maana bila baraka zake pengine mpaka leo ningekuwa bado nipo ndani ya shithole country.
Pengine nishakufa kwa kutekwa na wasiojulikana, au kwa stress zinazosabishwa na ugumu wa maisha wa nchi hiyo.
Naadhimisha siku hii au tareh hii ya leo ambayo ndio ilinitenganisha mimi na Afrika, pia ndio tareh ambayo pia nilivuka boda kwa mara ya kwanza kusogea bonden bila kujua kwamba kule ndio kungetokea neema ya kuwa hapa nilipo leo.
Kwahiyo naweza kusema kuwa kila mwaka tareh 25/06 huwa na kumbuka kumbu nayo kwa mambo haya na mengin mengi ya kimaisha.
Baada ya uzi huu najipongeza pia mwenyew kwa juhudi zang i can tell myself "Happy Birthday to me" kwa kufikisha miaka 7 nje ya Afrika, pia nawatakia siku njema na maisha mema.
Muda wangu wa mapumziko unakwisha ngoja niwahi niingia ndan kushughulika na majukumu ya kimaisha
Sawa kabisa unayosema. Mimi mwezi Agosti mwaka huu nitatimiza miaka 33 tangu niondoke TZ na kuanza kuishi nje ya nchi lakini nyumbani ni nyumbani tu na wala sithubutu kamwe kupaita "shithole". Huyu jamaa amefikisha tumiaka saba tu na anajisifia kwamba ameondokana na matatizo ya "shithole". Nina uhakika rohoni anakumbuka sana nyumbani lakini kwa kiherehere tu anataka tuamini yuko kwenye maraha na anatupa pole sisi tunaothamini nyumbani kwetu.Nina huzuni sana kuona mtu akiandika matusi ya hivi kuhusu nchi yake ya kuzaliwa.
Ama ikiwa yeye anafanya makosa kufikiri hivyo, au ikiwa wengine wamemkosea mpaka kumfanya aseme hivyo, au hata ikiwa ni mchanganyiko wa mawili hayo, bado ni jambo la huzuni sana.
Nimekaa nje ya nchi niliyozaliwa ya Tanzania, hususan Marekani, miaka takriban 20 sasa, na kwa kweli nitakuwa muongo nikisema sijawahi kufikwa na hisia za kuhoji uzalendo wangu kutokana na mwenendo wa uongozi nyumbani, na baadhi ya tabia za kijamii, na pengine kuhoji huko ndio uzalendo wenyewe.
Lakini kamwe sijajisikia kufika kuitukana nchi yangu ya kuzaliwa kwa jinsi hii.
Licha ya hivyo, naelewa baadhi ya sababu za matusi haya na watu kuyachukulia kirahisi.
Kweli kbs ndug yng, wengi hawaelewi 7bu ya nilichoandika wala nchi niliyoizungumzia. Ila mimi nawaelewa ni kwann wamekuwa wakali kiasi hikiNnachofurahi ni kua waswahili tunapenda kulazimisha mtu mwingine atamke kile tunachotaka sisi!
Mkuu wa2 tunatoka ktk nchi zetu kwa 7bu tofauti ndio maana wapo wanaorudi na tusiotaka kurudiSawa kabisa unayosema. Mimi mwezi Agosti mwaka huu nitatimiza miaka 33 tangu niondoke TZ na kuanza kuishi nje ya nchi lakini nyumbani ni nyumbani tu na wala sithubutu kamwe kupaita "shithole". Huyu jamaa amefikisha tumiaka saba tu na anajisifia kwamba ameondokana na matatizo ya "shithole". Nina uhakika rohoni anakumbuka sana nyumbani lakini kwa kiherehere tu anataka tuamini yuko kwenye maraha na anatupa pole sisi tunaothamini nyumbani kwetu.
Aisifiae mvua ujue imemnyeshea, ww utakuwa mmoja wa hao mabwabwa ndomana umekimbilia kuwataja hapa JF
Kweli nakumbuka lkn 7bu iliyonitoa nchini ndio inayonifanya niite hilo jina. Kuna wananchi na nchi, so hapa nimezungumzia nchi na sio wananchi kam vile baadhi ya ndug zangu humu walivyofikiriUnajipongeza kuingia kwenye raha mstarehe na kuondokana na matatizo ya "shithole" barani Afrika. Nina uhakika unakumbuka sana nyumbani pamoja na kwamba unatusema sisi tunaishi kwenye "shithole". Ni nini kinachokufanya ukumbuke "shithole" wakati uko kwenye raha mstarehe mbali na "shithole"? Sema kinachokuwasha kwenye dhamira yako. Tunakutakia heri na baraka zote kwenye miraha mingi huko ughaibuni lakini utuache sisi na matatizo yetu hapa "shithole".
Asante kwa ushaur bingwa wng japo ulianza kwa ukali hapo juuUna shithole brain kwendraa ushamba tu wa maisha ndugu yangu, kazi anayoifanya alieopo newyork nami naweza kuifanya nikiwa hapa kwa mtogole
, sijajua bado ni kipi kinachokuzuzua uko ulipo !? Unalipwa 100$ kwa siku vipi matumiz yako ni 5usd kwa siku!?
Ni kwamba tu ukija nyumbani ndo utaziona hela zako nyingi si uko uliko
Usirudi ila wawekezee wanao nyumbani huku
Dah ww kweli unaweza kumchekesha maiti. Hivi nimewezaje kupata nauli ya kunitoa Afrika hadi Ulaya afu nikose nauli ya kunitoa Ulaya kurudi Afrika. It doesn't make sense bingwanakusikitikia sana maana umekosa hata nauli ya kurudi kwenu.