Miaka 7 nje ya Afrika si haba

Miaka 7 nje ya Afrika si haba

Kwanza nianze kuwasalim wote mliopo humu na wale ambao hawakubahatika kuingia humu leo, najua siku wakiingia watazipata salamu zao.

Dhumuni la kuandika uzi huu kwanza kbs ni kumshukuru mola muumba kwa kunifikisha hapa nilipo leo maana bila baraka zake pengine mpaka leo ningekuwa bado nipo ndani ya shithole country.

Pengine nishakufa kwa kutekwa na wasiojulikana, au kwa stress zinazosabishwa na ugumu wa maisha wa nchi hiyo.

Naadhimisha siku hii au tareh hii ya leo ambayo ndio ilinitenganisha mimi na Afrika, pia ndio tareh ambayo pia nilivuka boda kwa mara ya kwanza kusogea bonden bila kujua kwamba kule ndio kungetokea neema ya kuwa hapa nilipo leo.

Kwahiyo naweza kusema kuwa kila mwaka tareh 25/06 huwa na kumbuka kumbu nayo kwa mambo haya na mengin mengi ya kimaisha.

Baada ya uzi huu najipongeza pia mwenyew kwa juhudi zang i can tell myself "Happy Birthday to me" kwa kufikisha miaka 7 nje ya Afrika, pia nawatakia siku njema na maisha mema.

Muda wangu wa mapumziko unakwisha ngoja niwahi niingia ndan kushughulika na majukumu ya kimaisha
Hebu taja mambo ya maana uliyoyafanya kwa miaka 7 na mimi niangalie hiyo miaka 7 nimefanya nini nione kama kuna GAP kubwa nijithimini
 
Nimefanya mambo kadhaa kama vile kujenga, kununua mashamba kwa ajili ya kilimo, ufugaji nk
 
nimekuja mbio nusu nijikwae nikajua uta-share experience yako uliyoipata huko kwa binadamu OG kumbe umejipongeza na kusepa huh!?
 
Kwanza nianze kuwasalim wote mliopo humu na wale ambao hawakubahatika kuingia humu leo, najua siku wakiingia watazipata salamu zao.

Dhumuni la kuandika uzi huu kwanza kbs ni kumshukuru mola muumba kwa kunifikisha hapa nilipo leo maana bila baraka zake pengine mpaka leo ningekuwa bado nipo ndani ya shithole country.

Pengine nishakufa kwa kutekwa na wasiojulikana, au kwa stress zinazosabishwa na ugumu wa maisha wa nchi hiyo.

Naadhimisha siku hii au tareh hii ya leo ambayo ndio ilinitenganisha mimi na Afrika, pia ndio tareh ambayo pia nilivuka boda kwa mara ya kwanza kusogea bonden bila kujua kwamba kule ndio kungetokea neema ya kuwa hapa nilipo leo.

Kwahiyo naweza kusema kuwa kila mwaka tareh 25/06 huwa na kumbuka kumbu nayo kwa mambo haya na mengin mengi ya kimaisha.

Baada ya uzi huu najipongeza pia mwenyew kwa juhudi zang i can tell myself "Happy Birthday to me" kwa kufikisha miaka 7 nje ya Afrika, pia nawatakia siku njema na maisha mema.

Muda wangu wa mapumziko unakwisha ngoja niwahi niingia ndan kushughulika na majukumu ya kimaisha

wewe ni mshamba wa maisha sijui nani alikupeleka huko
 
Mtoa mada umerusha jiwe limempata mtu akalia ng'aaaaa

Umeongea ukwel mtup...mim najutaga had leo kwann nlirud,mwenzangu niliyekua nae sasa yuko US army,mim nilijifanya nna akil nying,..
Kurud huko bila malengo ulifanya kosa kubwa san ndug yang, ambalo hata watoto wako watakuja kukulaumu
 
Hata mimi hayo nimeyafanya,hakuna jipya la ajabu kuwepo kwako nje
Kama na ww umefanikiwa kufanya haya basi nakupongez sana, maana ni wachache waliofanikiwa kuyafanya hayo wakiwa huko. Ila niseme tu kwamb mi nmeyafanya hayo si kwa ajili yang bali ni kwa ajili ya ndugu zang, make mi sina mpango wa kurud tena nlipotoka kuanza upya maisha. Big up my bruh
 
Back
Top Bottom