Miaka 7 nje ya Afrika si haba

Miaka 7 nje ya Afrika si haba

Nchi yetu sio shithole hata kidogo, hata kama kuna mapungufu lakini hatuwezi kukubaliana na wewe eti this is shithole hapana aisee, Wapo watu wanapambana humu humu na wametoboa tena inawezekana mara 100 zaidi yako wewe, kushindwa kwako mikikimikiki ya Bongo hakuwezi kutuaminisha nchi yetu ni shithole..

Binadamu kuhama kutoka sehemu moja na nyingine kutafuta maisha ni kawaida tu mkuu, Watu wametoka USA wako hapa wamekuja kupambana, watu wametoka UK wako hapa, wahindi wametoka India wako hapa, Chinese ziko hapa za kumwaga tu, watu wametoka SA wako hapa tunapambana, Sio ajabu pia kwako kutoka na kwenda huko kupambana ni haki yako mkuu.
 
Kwanza nianze kuwasalim wote mliopo humu na wale ambao hawakubahatika kuingia humu leo, najua siku wakiingia watazipata salamu zao. Dhumuni la kuandika uzi huu kwanza kbs ni kumshukur mola muumba kwa kunifikisha hapa nilipo leo maana bila baraka zake pengin mpaka leo ningekuwa bado nipo ndan ya shithole country. Pengin nishakufa kwa kutekwa na wasiojulikana, au kwa stress zinazo7bishwa na ugumu wa maisha wa nchi hiyo. Naadhimisha siku hii au tareh hii ya leo ambayo ndio ilinitenganisha mimi na Afrika, pia ndio tareh ambayo pia nilivuka boda kwa mara ya kwanza kusogea bonden bila kujua kwamba kule ndio kungetokea neema ya kuwa hapa nilipo leo. Kwahiyo naweza kusema kuwa kila mwaka tareh 25/06 huwa na kumbuka kumbu nayo kwa mambo haya na mengin mengi ya kimaisha. Baada ya uzi huu najipongeza pia mwenyew kwa juhudi zang i can tell myself "Happy Birthday to me" kwa kufikisha miaka 7 nje ya Afrika, pia nawatakia siku njema na maisha mema. Muda wng wa mapumziko unakwisha ngoja niwahi niingia ndan kushughulika na majukumu ya kimaisha
Kukaa nje ya Africa miaka saba haikufanyi ww kuwa mzungu, isitoshe huyo uliemtukana kuwa n shithole n sawa na mzazi wako maana umezaliwa huko, hata Barrack Obama hajawahi itukana Africa na Kenya maana anaheshimu motherland yake. Shukuru kwa chance hyo inatosha.
 
Nchi yetu sio shithole hata kidogo, hata kama kuna mapungufu lakini hatuwezi kukubaliana na wewe eti this is shithole hapana aisee, Wapo watu wanapambana humu humu na wametoboa tena inawezekana mara 100 zaidi yako wewe, kushindwa kwako mikikimikiki ya Bongo hakuwezi kutuaminisha nchi yetu ni shithole..

Binadamu kuhama kutoka sehemu moja na nyingine kutafuta maisha ni kawaida tu mkuu, Watu wametoka USA wako hapa wamekuja kupambana, watu wametoka UK wako hapa, wahindi wametoka India wako hapa, Chinese ziko hapa za kumwaga tu, watu wametoka SA wako hapa tunapambana, Sio ajabu pia kwako kutoka na kwenda huko kupambana ni haki yako mkuu.
Mkuu kumbuka sikutaja jina la nchi so usihisi kuwa nimeizungumzia nchi yako
 
Mkuu nimekuelewa,najua una machungu Fulani juu ya yanayofanyika huku ambayo hata sisi tunayo ila hapo uliteleza
Hakika ww ndo umeongea japo mimi sizungumzii hiyo nchi wanayosema wao
 
Mkuu kumbuka sikutaja jina la nchi so usihisi kuwa nimeizungumzia nchi yako

Haijalishi umetaja au hukutaja, lakini ulichomaanisha ni ulipotoka aka kwenu/nchi yenu. Jibu ni lilelile huwezi kupaita kwenu ni shithole eti kwasababu umeondoka na kwenda kwingine kutafuta maisha. Ungekuwa wamaana sana kama ungepambana kuuondoa huo ushithole na sio kusimanga kwenu...
 
Nashukur kwa ushaur ndug
 
Usijali ipo siku ndoto yako itatimia UTAENDA NJE. endelea kuota mkuu
1138206
 
Mtu anakaa miaka saba nje ya Afrika lakini bado unaandika kama upo Loliondo. Andiko lote halina hata Aya. Au huko napo ni kama Kolomije?
 
Nina huzuni sana kuona mtu akiandika matusi ya hivi kuhusu nchi yake ya kuzaliwa.

Ama ikiwa yeye anafanya makosa kufikiri hivyo, au ikiwa wengine wamemkosea mpaka kumfanya aseme hivyo, au hata ikiwa ni mchanganyiko wa mawili hayo, bado ni jambo la huzuni sana.

Nimekaa nje ya nchi niliyozaliwa ya Tanzania, hususan Marekani, miaka takriban 20 sasa, na kwa kweli nitakuwa muongo nikisema sijawahi kufikwa na hisia za kuhoji uzalendo wangu kutokana na mwenendo wa uongozi nyumbani, na baadhi ya tabia za kijamii, na pengine kuhoji huko ndio uzalendo wenyewe.

Lakini kamwe sijajisikia kufika kuitukana nchi yangu ya kuzaliwa kwa jinsi hii.

Licha ya hivyo, naelewa baadhi ya sababu za matusi haya na watu kuyachukulia kirahisi.
Jiwe kadatisha watu. Watu walizoea wakiamka asubuhi wana nauli ya basi tu kufika mjini jioni wanarudi na milioni halafu wanapita wanaiunguza yote kesho mzunguko mzima unarudia. Leo hicho kitu hakipo unadhani tutacha kutukana? Kudata kwa kwenda mbele
 
Back
Top Bottom