Miaka 7 nje ya Afrika si haba

Miaka 7 nje ya Afrika si haba

Kwanza nianze kuwasalim wote mliopo humu na wale ambao hawakubahatika kuingia humu leo, najua siku wakiingia watazipata salamu zao.

Dhumuni la kuandika uzi huu kwanza kbs ni kumshukuru mola muumba kwa kunifikisha hapa nilipo leo maana bila baraka zake pengine mpaka leo ningekuwa bado nipo ndani ya shithole country.

Pengine nishakufa kwa kutekwa na wasiojulikana, au kwa stress zinazosabishwa na ugumu wa maisha wa nchi hiyo.

Naadhimisha siku hii au tareh hii ya leo ambayo ndio ilinitenganisha mimi na Afrika, pia ndio tareh ambayo pia nilivuka boda kwa mara ya kwanza kusogea bonden bila kujua kwamba kule ndio kungetokea neema ya kuwa hapa nilipo leo.

Kwahiyo naweza kusema kuwa kila mwaka tareh 25/06 huwa na kumbuka kumbu nayo kwa mambo haya na mengin mengi ya kimaisha.

Baada ya uzi huu najipongeza pia mwenyew kwa juhudi zang i can tell myself "Happy Birthday to me" kwa kufikisha miaka 7 nje ya Afrika, pia nawatakia siku njema na maisha mema.

Muda wangu wa mapumziko unakwisha ngoja niwahi niingia ndan kushughulika na majukumu ya kimaisha
Shithole thread
 
Kweli namuuanga mkono Mh Trump. Comments zake nyengine naziamini. Hebu fikiri, huyu naye anajiona yuko juuuu sana. Ulimbukeni ni mmbaya sana.
Kwenu ni kuzuri tu hata ukae miaka ngapi nje, lazima utamani kurudi kwenyu tu. Tuseme huna mawasiliano hata kidogo na kwenu?? Mtu akikutana na weye sasa nadhani kiswahili utaona aibu kabisa kukisema.
Miaka saba unajiona umekaaa kabisa ukasahau kwenu. Ngoja ije siku urudi hapa kama utatamani kwenda nje. I have never seen such a beautiful country like Tanzania. Nenda uendako. Huwezi fananisha nchi yeyote na Tz.
Wengi ambao hawakutoka huwa wanasema hivi bingwa
 
Dah ww kweli unaweza kumchekesha maiti. Hivi nimewezaje kupata nauli ya kunitoa Afrika hadi Ulaya afu nikose nauli ya kunitoa Ulaya kurudi Afrika. It doesn't make sense bingwa
huna nauli..... ulizamia na sasa umeshindwa kurudi imebidi utukane hovyo..... NGOJA WAKUONESHE NDOGO NI NINI HUKO UPATE NAULI YA KURUDI HUKU KWENU SHITHOLE.
 
Nina huzuni sana kuona mtu akiandika matusi ya hivi kuhusu nchi yake ya kuzaliwa.

Ama ikiwa yeye anafanya makosa kufikiri hivyo, au ikiwa wengine wamemkosea mpaka kumfanya aseme hivyo, au hata ikiwa ni mchanganyiko wa mawili hayo, bado ni jambo la huzuni sana.

Nimekaa nje ya nchi niliyozaliwa ya Tanzania, hususan Marekani, miaka takriban 20 sasa, na kwa kweli nitakuwa muongo nikisema sijawahi kufikwa na hisia za kuhoji uzalendo wangu kutokana na mwenendo wa uongozi nyumbani, na baadhi ya tabia za kijamii, na pengine kuhoji huko ndio uzalendo wenyewe.

Lakini kamwe sijajisikia kufika kuitukana nchi yangu ya kuzaliwa kwa jinsi hii.

Licha ya hivyo, naelewa baadhi ya sababu za matusi haya na watu kuyachukulia kirahisi.

They don’t know that home is where the Heart is
 
UKIPARULIWA JICHO USISITE KUTUHADITHIA SISI SHITHOLE WENZAKO......
Ni haki yako kuandika utumbo na sishangai kwa hilo. Najua hii inatokana na kuishi sehem Muda mref bila kuwa na kaz, bila kupata lishe bora japo mara 2 tu kwa siku, bila kuwa na sehem ya kulala inayoeleweka nk. Kwahiyo lzm uwe na msongo wa mawazo na akili fupi ya kuandika upumba.vu huu ulioandika hapa.
 
wewe niache mimi nikae huku shithole wewe kaa huko upate lishe bora na kuwa na sehemu ya kulala na usiwe na msongo wa mawazo LAKINI MARINDA NI MUHIMU ZAIDI.
 
Hujasema uko nchi gani na unafanya shughuli gani zaidi ya tambo na kulingishia

Ila kumbuka huku shithole ndio umezaliwa ukakulia huku na bado unatmbulika umetokea huku huku shithole kantri kwahyo usipabeze sana
 
Huku wapi bingwa! Unajuaje kama nazungumzia huko ulipo ww? Maybe ni Uganda, maybe ni Burundi, maybe ni Kenya, Rwanda, DRC nk
 
Hujasema uko nchi gani na unafanya shughuli gani zaidi ya tambo na kulingishia

Ila kumbuka huku shithole ndio umezaliwa ukakulia huku na bado unatmbulika umetokea huku huku shithole kantri kwahyo usipabeze sana
Huku wapi bingwa! Umejuaje kama mi nazungumzia huko ulipo ww? Maybe nazungumzia Uganda, maybe Burundi, maybe Kenya, Rwanda, DRC nk. You never know
 
Mtoa mada umerusha jiwe limempata mtu akalia ng'aaaaa

Umeongea ukwel mtup...mim najutaga had leo kwann nlirud,mwenzangu niliyekua nae sasa yuko US army,mim nilijifanya nna akil nying,..
 
Nina huzuni sana kuona mtu akiandika matusi ya hivi kuhusu nchi yake ya kuzaliwa.

Ama ikiwa yeye anafanya makosa kufikiri hivyo, au ikiwa wengine wamemkosea mpaka kumfanya aseme hivyo, au hata ikiwa ni mchanganyiko wa mawili hayo, bado ni jambo la huzuni sana.

Nimekaa nje ya nchi niliyozaliwa ya Tanzania, hususan Marekani, miaka takriban 20 sasa, na kwa kweli nitakuwa muongo nikisema sijawahi kufikwa na hisia za kuhoji uzalendo wangu kutokana na mwenendo wa uongozi nyumbani, na baadhi ya tabia za kijamii, na pengine kuhoji huko ndio uzalendo wenyewe.

Lakini kamwe sijajisikia kufika kuitukana nchi yangu ya kuzaliwa kwa jinsi hii.

Licha ya hivyo, naelewa baadhi ya sababu za matusi haya na watu kuyachukulia kirahisi.
Nchi nzuri hii ndo uite shithole kweli tunahitaji uhuru wa kifikra
 
Back
Top Bottom