Miaka 50: Tumethubutu, Tumeweza na Tunasonga Mbele...

Miaka 50: Tumethubutu, Tumeweza na Tunasonga Mbele...

&lt;br /&gt;<br />
&lt;br /&gt;<br />
Wameweza kweli, haya uliyoyataja ni baadhi tu maana ukiorodhesha yote unaweza kuwa mwehu au ukawa na mtindio wa ubongo, huwa napatwa na hasira kila magamba wanapotoa slogan.................................. Ngoja niishie hapa nikiendelea nitatukana bure
<br />
<br />
wamethubutu, wameweza kutuletea fedha mpya fek. Nataman kuhama dunian il walau nisisikie hili jina.
 
Mwaka huu tanzania itasherehekea miaka 50 toak ipate uhuru wake kutoka kwa wakoloni na kujitawala huku tukiwa na raslimali lukuki ikiwemo aina mbali mbali za madini, mbuga za wanyama, fukwe na vivutioa mbali mbali vya watalii n.k lakini inasikitisha kuona mpaka sasa bado wapo watoto wa kitanzania wakiwa katika hali hii katika upatikanaji wa elimu hapa nchini. Hali ikiwa ni duni kiasi hiki katika utolewaji wa huduma mbali mbali za kijamii, viongozi wa ccm na serikali yake wameendelea kujilimbilizia mali, kujenga mahekalu mna kununua vitu mbali mbali vya kifahari ikiwemo magari ya kifahari n.k tafakari chukua hatua!

mitihani.jpg
 
Kwanza ni uhuru wa Tanganyika toka kwa mkoloni na si Tanzania. Anyway, wikiendi hii nilijumuika mahala fulani jijini Dar es Salaam na miongoni mwetu alikuwepo mbunge mmoja wa muda mrefu wa CCM. Huyu bwana wakati anaaga kuondoka pale mahala alisema yafuatayo, "Hii nchi imefikia mahala pabaya sana, kitakachobadilisha muelekeo si vyama vya siasa bali ni movement ya watu ambao hawana political affiliation yoyote bali wana uchungu na wamechoshwa."
Kwa kutafakari niliona haya maneno yana mashiko kwa namna yake maana mifano ya aina hiyo ipo sehemu mbalimbali ulimwenguni. Milosevic na ubabe wake alitimuliwa hivyohivyo na hata Misri na Tunisia mtindo ulikuwa uleule.
Naamini kuwa na imani tu kwamba siku moja mambo yatakuwa safi ni faraja tu ya muda, hawa washenzi ni kuwaondoa kinguvu, kutaifisha mali zao na kuwaua tu, hakuna majadiliano nao.
 
Kwani tumepata uhuru , uhuru upi? Alikuja mkoloni akaondoka akaja mkoloni mwingine CCM ambaye ni hatari kuliko wazungu
 
TUMETHUBUTU.
kuuwa reli,bandari,atc,general tyre,kilitex,mashamba ya mikonge,miwa,ngano,mpunga,sukita,marumaru,nknk.

TUMEWEZA
.kuuza nyumba za serikali,kugawa madini yetu kwa wageni,kugawa urithi wa ardhi ya watoto wetu kwa wageni,kuingia mikataba itakayo hakikisha watoto na wajukuu zetu watalipa madeni mpaka wachakae,kusomesha watoto wetu ulaya na marekani(nyerere alikuwa mjinga hakupeleka watoto wake),kuwapambanisha watanzania kidini,kugeuza ikulu kuwa uwanja wa fisi,kuwafanya viongozi wa uma kuwa wawekezaji kwenye mashirika ya uma,nk.

TUNASONGA MBELE.
kuuza mahakama,magereza,hosiptali za umma,jeshila polisi,jwtz,usiousalama wa taifa,takukuru,ewura,sumatra,malaka ya hali ya hewa,reli na atc kwa awamu ya pili,wizara zote,halmashauri zote,nyumba za serkali zilizobaki kwa wale viongozi waliokosa mgao wa kwanza,barabara zote za lami,mbuga za wanyama,mlima kilimanjaro,meru,boda zote nknk.

MPAKA HAPO MWENYE KUSEMA CCM HAIKUFANYA CHOCHOTE NI MVIVU WA KUFIKIRI.
 
Mbona umejisahau na wewe mwenyewe kuwa umeuzwa na sasa ni mtumwa wa mwekezaji fulani kutoka nje
 
Mbona umejisahau na wewe mwenyewe kuwa umeuzwa na sasa ni mtumwa wa mwekezaji fulani kutoka nje
kama ningejisahau nisingeyasema hay.
vilevile si wote katika nchi zilizouzwa walikubali kuingia utumwani na mimi ni mmoja wapo.
na wala kwenye maisha yangu hakuna kitu mimi wala familia yangu kinategemea wawekezaji.
 
Sasa mkuu kama kila kitu wameuza ikiwa ni pamoja na ile ardhi ambayo umejenga kibanda chako si umebakia wewe tuu ambaye hujaingia kwenye mtego wao
 
TUMETHUBUTU.
kuuwa reli,bandari,atc,general tyre,kilitex,mashamba ya mikonge,miwa,ngano,mpunga,sukita,marumaru,nknk.

TUMEWEZA
.kuuza nyumba za serikali,kugawa madini yetu kwa wageni,kugawa urithi wa ardhi ya watoto wetu kwa wageni,kuingia mikataba itakayo hakikisha watoto na wajukuu zetu watalipa madeni mpaka wachakae,kusomesha watoto wetu ulaya na marekani(nyerere alikuwa mjinga hakupeleka watoto wake),kuwapambanisha watanzania kidini,kugeuza ikulu kuwa uwanja wa fisi,kuwafanya viongozi wa uma kuwa wawekezaji kwenye mashirika ya uma,nk.

TUNASONGA MBELE.
kuuza mahakama,magereza,hosiptali za umma,jeshila polisi,jwtz,usiousalama wa taifa,takukuru,ewura,sumatra,malaka ya hali ya hewa,reli na atc kwa awamu ya pili,wizara zote,halmashauri zote,nyumba za serkali zilizobaki kwa wale viongozi waliokosa mgao wa kwanza,barabara zote za lami,mbuga za wanyama,mlima kilimanjaro,meru,boda zote nknk.

MPAKA HAPO MWENYE KUSEMA CCM HAIKUFANYA CHOCHOTE NI MVIVU WA KUFIKIRI.
Uhuru wa Nchi gani ?
 
Mwaka huu tanzania itasherehekea miaka 50 toak ipate uhuru wake kutoka kwa wakoloni na kujitawala huku tukiwa na raslimali lukuki ikiwemo aina mbali mbali za madini, mbuga za wanyama, fukwe na vivutioa mbali mbali vya watalii n.k lakini inasikitisha kuona mpaka sasa bado wapo watoto wa kitanzania wakiwa katika hali hii katika upatikanaji wa elimu hapa nchini. Hali ikiwa ni duni kiasi hiki katika utolewaji wa huduma mbali mbali za kijamii, viongozi wa ccm na serikali yake wameendelea kujilimbilizia mali, kujenga mahekalu mna kununua vitu mbali mbali vya kifahari ikiwemo magari ya kifahari n.k tafakari chukua hatua!

View attachment 37036
Ukiulizwa uhuru huo uliupata kwa nani utasemaje ?
Ukivunja muungano ambao munasema eti Tan ndio tanganyika na Zan ndio zanzibar sasa jee ukivunjika huo muungano utakuwa unasherekea Uhuru wa nchi gani ?

Ikiwa Tanzania imekupatia uhuru miaka 50 zanzibar tujitoe utasherekea mika mingapi hapo ?
 
miaka 50 ya uhuru , Serikali ya chama chetu cha mapinduzi imeboresha elimu, na hapa ni Singida picha imepigwa miezi 7 iliyopita, lakini inatoa kielelezo kama Taifa namna gani Tumejaribu na Tumeweza.
248943_190482987666158_100001133736084_457580_2950002_n.jpg
 
na hapa ni kwenye miji yetu, miaka Hamsini tumeweza pia katika baadhi ya maeneo kujenga madarasa ya Mfano, kama shule hii yakupigiwa Upatu.
253988_10150207640045758_692130757_7048987_5731672_n.jpg
 
kaka mimi nimepanga namiliki cash tu

Kwani uko huru hapo au hujui kuwa umefungwa kwenye minyororo ya hao wanaokutawala bila wewe kujijua
By the way what is ur freedom if u cannt even change your identity au jina bila wao kukupa ruhusa au kubadilisha uraia wako bila wao kukukubalia
 
na kwakuishukuru ccm kwakuwaletea elimu bora na kuwajengea madarasa bora hata watoto hawa wameamua kuienzi ccm kwa kuvaa nguo za Kijani, Hongera kwa miaka 50 ya uhuru.
179313_157352860981857_100001214312304_319376_2304488_n.jpg

Mkuu hizo picha zinatia simanzi bana
Ni nini tunachosherehekea
Je zile bilioni wanazotegemea kusherehekea nazo si zingetosha kujenga madarasa kadhaa ya kuwasaidia hawa watoto
BTW watoto wao hawasomi kwenye hizi shule so tuendelee tuu kutumia bilioni kadhaa kusherehekea uhuru ambao hatuna
 
nakubaliana na wewe mkuu.
Tumechoka na sherehe za kijinga ambazo hutumia pesa za walipa kodi na watoa jasho kwa kusukuma marikwama na mama ntilie,nchi inajengwa na wenye moyo na huliwa na wenye meno, mapinduzi daimaaaa

Kama tunataka maendeleo tuondoe neno mapinduzi ,hapo ndipo tutasonga mbele wazalendo,hili neno mapinduzi lina maana nyingi sana,nitawachamulia iko siku nikiwa na muda,moja ni kula rasilimali za wananchi,na kuwachanya zombi na kuwatawala kwa nguvu.
 
Back
Top Bottom