Miaka 50: Tumethubutu, Tumeweza na Tunasonga Mbele...

Miaka 50: Tumethubutu, Tumeweza na Tunasonga Mbele...

Tanzania imepiga hatua kubwa kufuta umaskini katika miaka 50 kuliko nchi nyingi kwa muda huo.
Hata Merekani, ambayo ni nchi tajiri duniani, mpaka miaka 150 baada ya Uhuru walikuwa bado wanatabaka la
umaskini kubwa kuliko ilivyo Tanzania kwa sasa.

Great thinker hawezi kuwa na mawazo mgando kama haya. Bado mnaendekeza ile formula ya
"head in the oven and legs in the freezer, the average is comfortable" kitu ambacho ni hatari
kwa ustawi wa maendeleo ya nchi yetu

Tanzania imepiga hatua kubwa kufuta umaskini katika miaka 50 kuliko nchi nyingi kwa muda huo. Hata Merekani, ambayo ni nchi tajiri duniani, mpaka miaka 150 baada ya Uhuru walikuwa bado wanatabaka la umaskini kubwa kuliko ilivyo Tanzania kwa sasa.

Una haki ya akusema usemacho lakini Watanzania wanahitaji uhalisia na si data za kwenye karatasi...

Watz tukiwa tumebakisha takribani miezi mi3 kuadhimisha miaka 50 ya uhuru tunashudi wadogo zetu wakifanya mitihani katika hali hii

228904_2119570922366_1638587622_2152369_4990536_n.jpg

Pia demokrasia yetu haijakua mbali na wakati wa ukoloni Arusha wakafanyiwa hivi wakiwa wanadai haki yao kwa maandamano ya amani na halali

263578_239635436065135_100000560413078_945461_8301731_n.jpg 263578_239635436065135_100000560413078_945461_8301731_n.jpg

Raisi wetu ambae tunamtegemea atatoa kauli ambayo ingetufanya raia waTZ kufuata sheria zilizowekwa na zilizo wekwa kihalali na bunge aktuambia hali ya wanafunzi kupata mimba ni kujitakia badala ya kukemea na kuamua sheria uchukue mkondo wake akaruhusu hii hali

252078_2041274467757_1121182066_32451573_4876696_n.jpg

Mamlaka husika nazo zikishindwa kuzuia bidhaa feki, madawa na vipodozi visivyofaa kwa matuzi ya binadamu dada zetu wamekua hivi

196941_1917166932654_1346425284_2191655_473046_n.jpg

Pamoja na matatizo mengi yanayotukabili Je yafaa husheherekea miaka hii 50 ya uhuru tukiwa katika hali hii na turidhike kama waTZ kuwa viongozi wetu waliopita walitutendea haki?

Hoja naileta kwenu wana JF

Iko njema.tafuta wimbo wa luck dube uko kwenye ''albam ya house of exile ''kuna wimbo unaitwa ''mickey mouse freedom'' katika lyrics za wimbo huo kuna lyrics inasema hv WOLKING LIKE A MILLIONAIRE CAUSE YOU THINK THAT U'RE COUNTRY IS FREE, BUT ONE THING U DONT UNDERSTAND THAT U'RE COUNTRY IS REMOTED CONTROL

Chorous; ITS A MICKEY MOUSE FREEDOM YEEEH!

Nitajitahidi niitafute niisikili mkuu

tunaelekea kwenye maazimisho ya miaka 50 tangu taifa letu lipatiwe uhuru, wakubwa wetu wakiulizwa ni lipi la kujivunia utasikia tz ni nchi ya amani, utulivu, na umoja, mi kwa upande wangu siioni hiyo amani, ninacho weza kukiona miongoni mwetu ni uvumilivu na uoga tu, hebutazama tunaelekea kwenye maadhimisho haya tukiwa na matatizo kibao, mara umeme, migogoro ya ardhi, mafuta, kuanguka kwa shilingi, ...siwezi kuyamaliza yote hapa janvini. mi nadhani ni wakati wa kujadili nini cha kufanya ili tuondoke hapa.

Kwani hiyo nchi inayotimiza miaka hansini ni ipi, au ni zanzibar. Kwa sababu Tanzania haina miaka 50. Na hiyo inayoitwa tanzania bara si nchi.
Wadanganyika Duhhhhh. Hii shareha ni ya kufutwa au Tanganyika irudi.

Kauli mbiu ya maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru imetolewa leo ambayo ni 'Tumethubutu, Tumeweza na Tunasonga mbele'

Je iko relevant na Tanzania ya leo miaka 50 baada ya Uhuru?

Hii nchi kwa kauli mbiu ndio yenyewe......angalia hizi hapa

1. Kilimo ni uti wa mgongo
2. Kilimo kwanza
3. Mapinduzi ya kijani
4. Kilimo cha kufa na kupona
5. Ari mpya nguvu mpya na kasi mpya
6. Ari zaidi nguvu zaidi na kasi zaidi
7. Siasa ni kilimo
Hizo ni baadhi tu,na hatujaona matunda yake,sasa hii ya miaka 50 ya uhuru ni yaleyale tu......

kauli hii haienadani na hali halisi ya maisha ya sasa na tanzania ilivyo katika uhalisi....

Ni kauli mbiu nzuri kabisa.Tumethubutu kujitawala na tumeweza. Tumeweza kupunguza umasikini kwa hali ya juu sana na hili nalo tumeweza ingawa jitihada bado zinafanyika maana kutokomeza umasikini ni mchakato na mwisho tunasongambele katika kujiletea maendeleo na hili tumeliona chini ya serikali ya Rais Kikwete kwa kuwekeza sana katika elimu mfano Chuo Kikuu Cha Dodoma, na katika kilimo kwani ni hivi karibuni benki ya wakulima inaanzishwa ukiachilia mbali benki ya wanawake ambayo imekwisha anza kazi.

Hakika tunasonga mbele.
Kwa umri wangu sijapata kuona shida katika maisha kama kipindi cha utawala wa awamu ya JK. Ni awamu ambayo haifai kutumia hiyo kauli mbiu.
Lakini sishangai watz wakaendelea kutofautiana maana ni awamu iliyojenga matabaka la walionacho na wasionacho.

Tumethubutu,tumeweza na tunasonga mbele.,kaulimbiu safi ambayo kimtizamo kwang katka mliganyo imeegemea mtizamo hasi zaid kuliko chanya.elimu,afya,kuondoa umaskin,yote ni fahar kujisifia tulipo?si haba lakn naamin tulipaswa kuwa zaid ya hapo kwa kila jambo..ufisadi,uwajibikaj,uongozi duni,huku ndio naona kwel 2methbut,2meweza na sion dalil za maana katka kujikwamua na hayo hivyo 2nasonga mbele 2kiyakumbatia hayo..hivyo basi kama watanzania wazalendo 2po 2saidien kwanz sis katka uwajibikaj mzur(uthubutu) ili katka hilo tuweze kujikwamua na mienendo yote iturudishayo nyuma ili tuweze kusonga mbele kwa amani upendo na mshkamano.

hakuna umeme, bei zinapanda kiholela , wanategemea kushinda chaguzi kwa rushwa kweli wananchi hatuwezi kufanya chochote kuepuka na hawa ccm?

Slogan ipo general sana. Inanipa maswal meng na majibu kidogo sana kwasababu sijajua walimaanisha nin!
1. Wemethubutu, wameweza kutuletea mikataba feki.
2. Wamethubutu, wameweza kuiba rasilimal za nchi yetu.
3. Wamethubutu, wameweza kuwakingia kifua mafisad.
4. Wamethubutu, wameweza kuiba kura ktk chaguz ndogo na kubwa.
Wamejarbu na kufanya mengi sana,

Kwani hiyo nchi inayotimiza miaka hansini ni ipi, au ni zanzibar. Kwa sababu Tanzania haina miaka 50. Na hiyo inayoitwa tanzania bara si nchi.

Wadanganyika Duhhhhh. Hii shareha ni ya kufutwa au Tanganyika irudi.

swali gumu hilo.

Uhuru wa miaka 50 tunaosheherekea mwaka huu ni uhuru wa nchi ya Tanganyika; naomba kusaidiwa hapa, kwa nini tunausherekea watanzania wote kama vile ndo uhuru wa Tanzania? Au ndo mapungufu ya muungano?

hapa tunaona umuhimu wa katiba mpya. Lazma iweke bayana hii sikukuu iko vip, na asili yake ni nin?. Serikal wanafanya mambo kwa mazoea.

Kauli mbiu ya maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru imetolewa leo ambayo ni 'Tumethubutu, Tumeweza na Tunasonga mbele'

Je iko relevant na Tanzania ya leo miaka 50 baada ya Uhuru?
MIAFRIKA kwa longo longo jamani hata sielewi... Sasa hizi Kauli Mbiu bila utekelezaji bora ndio kitu gani? - Inatusaidia nini maneno mazito mazito kama sii siasa za Kikomunist!..

binafsi sioni mwanga! hata sielewi! nafikiri tungesheherekea kimya kimya hizi kauli mbiu wizi mtupu? mbona zamani hazikuwepo? sijui bwana lakini sioni ikiwa zaidi ya asilimia 70 wanaishi katika dhiki na tabu bado ninawasiwsi ni bora tutumie kauli itakayo tujenga kurekebisha tulipokosea na kujenga uchumi wenye maana kuliko kuleta mbwembwe

Kwani hiyo nchi inayotimiza miaka hansini ni ipi, au ni zanzibar. Kwa sababu Tanzania haina miaka 50. Na hiyo inayoitwa tanzania bara si nchi.

Wadanganyika Duhhhhh. Hii shareha ni ya kufutwa au Tanganyika irudi.

Asante mkuu kwa kutoa ukweli ingawa hao vingozi wenu (mimi sina kiongozi zaidi ya mimi mwenyewe) wataku-dc

inaniwia vigumu sana kuendelea kuwepo katika nchi hii yaani ni nchi iliyojaa maneno tu na bila matendo ni hadi lini tutaendelea kuwa watu wa kaulimbiu zisizo na matendo? KILIMO KWANZA Kko wapi hicho kilimo? mkulima ananyanyasika leo hii hawezi kuuza mazao yake mapaka pale serikali iamue.mmetutwisha kauli mbiu nyingine ama hakika MMETHUBUTU MMEWEZA KULIINGIZA TAIFA GIZANI napita tu

Slogan ipo general sana. Inanipa maswal meng na majibu kidogo sana kwasababu sijajua walimaanisha nin!

1. Wemethubutu, wameweza kutuletea mikataba feki.

2. Wamethubutu, wameweza kuiba rasilimal za nchi yetu.

3. Wamethubutu, wameweza kuwakingia kifua mafisad.

4. Wamethubutu, wameweza kuiba kura ktk chaguz ndogo na kubwa.

Wamejarbu na kufanya mengi sana,

Wameweza kweli, haya uliyoyataja ni baadhi tu maana ukiorodhesha yote unaweza kuwa mwehu au ukawa na mtindio wa ubongo, huwa napatwa na hasira kila magamba wanapotoa slogan.................................. Ngoja niishie hapa nikiendelea nitatukana bure

Back
Top Bottom