Kweli kabisa mkuu watu wavivu wa kufuatilia na ndiyo maana EL alisema maisha bora hayaji kwa kushinda Vijiweni au Jamvini tuko pamoja sanaTUMETHUBUTI
TUMEWEZA
- Kupanga miradi mikubwa ya maendeleo yenye kuleta tija kwa wananchi
1. Upanuzi mkubwa wa sekta ya Elimu;
- Kutekeleza miradi hiyo mfano:
2. upanuzi mkubwa katika sekta ya Afya
- shule za msingi zaidi ya 15,000 kuanzia uhuru hadi leo
- shule za sekondari kutoka chini ya 200 wakati wa uhuru mpaka zaidi ya 4,000 hadi sasa
- vyuo vikuu kutoka 0 wakati tunapata uhuru mpaka zaidi ya 40 hivi sasa
- vyuo vya ufundi vya kumwaga
3. Upanuzi mkubwa wa ujenzi wa barabara kwa kiwango cha Lami
- madaktari kutoka 12 wakati tunapata uhuru mpaka zaidi ya 1500 hivi sasa
- ujenzi wa zahanati kila kijiji umefikia kiwango kikubwa kwani vimesalia vijiji vichache mno
- ujenzi wa vituo vya afya kila kata umefanywa pia kwa kiwango cha kuridhisha
- zaidi ya asilimia 90 ya wilaya zetu zina hospitali za wilalya
- hospitali za mikoa zaidi ya 18 katika kila mkoa isipokuwa michache tu
- hospitali za rufaa KCMC, MBEYA, BUGANDO, KIBONG'OTO na Milembe zimeboreshwa
- Upanuzi mkubwa wa Hospitali ya Taifa ya muhimbili ikijumuisha uwekaji wa vifaa vya kisasa vya upasuaji wa moyo, ubongo na uti wa mgongo pamoja na Kinywa na Meno
- zaidi ya madaktari bingwa 28 wamepatiwa mafunzo nje ya nchi kwa ajili ya kufanya upasuaji wa moyo
4. Kuboresha kilimo bora nchini
- kuongeza idadi ya ma-Engineer kutoka 2 wakati tunapata uhuru mapka zaidi ya 500 hivi sasa
- mpaka sasa zaidi km 12,000 za barabara nchini kote zipo katika hatua mbalimbali ya kujengwa kwa kiwango cha Lami
TUNASONGAMBELE
- maafisa ugani zaidi ya 4000 wameajiliwa na kusambazwa nchi nzima
- wakulima wanawezeshwa pembejeo, matrekta na mikopo kwa ajili ya kuendeleza kilimo chao
MAMBO YOTE HAYO HAMRIDHIKI? MBONA HAMNA SHUKURANI NYIE!
- kuendeleza mafanikio yaliyopatikana
- kuendelea kubuni miradi mipya hasa kuimarisha sekta ya uchukuzi, nishati na madini
- kuiwezesha STAMICO ili isimimamie vyema uchimbaji wa madini nchini
- Kuiwezesha sekta binafsi ili ijuhusishe kikamilifu katika kukuza uchumi wa nchi yetu kupitia mpango wa PPP
- Kuhakikisha kuwa ukuaji wa uchumi unaendana sanjali na kupunguza umasikini wa kipato kwa wananchi
samahani sijaelewan unazungumzia uhuru wa Tanganyika au Tanzania ,kwa historia niliyosoma na kusimuliwa Tanzania haijawahi kutawaliwa.ok tuwe wakweli kusema mambo waziwaz bila kificho
Hapa ndipo penye tatizo, nashangaa sana kusikia wengi wakisema
eti uhuru wa Tanzania Bara...
I am just shocked while counting all the pieces and losses.... fifty years of independency, sherehe since august all over the world while inflation, unemployment, TZS drop, and all the issues we have
as a norm, public accountability is a prime indicator kuonyesha good governance, I am hoping tutapewa honest account kuanzia idara, wizara hadi private avenue (donations, contribution, collateral and in-kinds)
IT IS MY PERSONAL RIGHT TO ASK, QUESTION, PROTEST AND PARTICIPATE IN THE PUBLIC ACCOUNTING QUERRY
Mimi naona tusiangalie figures, they are just numbers...tuangalie kama inastahili? Haya maadhimisho yametusaidiaje watanzania?Taarifa nilizonazo ni kuwa hadi hivi sasa sherehe hizo za mawizara zimeshatumia Sh36 billion
Mimi naona tusiangalie figures, they are just numbers...tuangalie kama inastahili? Haya maadhimisho yametusaidiaje watanzania?
Kwangu mimi naona yamesaidia sana kucreate awareness..
Rejao mbona hueleweki? Maadhimisho yamesaidia awareness ya kitu gani?
Mimi naona tusiangalie figures, they are just numbers...tuangalie kama inastahili? Haya maadhimisho yametusaidiaje watanzania?
Kwangu mimi naona yamesaidia sana kucreate awareness..
Mimi naona tusiangalie figures, they are just numbers...tuangalie kama inastahili? Haya maadhimisho yametusaidiaje watanzania?
Kwangu mimi naona yamesaidia sana kucreate awareness..
?????rejao masaburi yako yanatia aibu ...azima ya ff si hayupo?Una Point MTM..tumejisahau sana, but nani wa kuirekebisha system ilivyo? who is to blame?
Nani wa kuquerry?
Nafikiri inatakiwa hii miaka 50 tuangalie wapi tulijikwaa then tuangalie nini cha kufanya. Nafikiri hizi cellebrations zitatuzindua sana.