Miaka 5 ya Anniversary ya Reginald Mengi na Jackline Mengi wote wafunguka

Miaka 5 ya Anniversary ya Reginald Mengi na Jackline Mengi wote wafunguka

Kuna wengine wanatabia yaku care automatically mpaka raha yani... Japo ndohivo wengi wao wanaishia kupata wasiothamini

Sent using Jamii Forums mobile app

Hahaha, ukimwona mke wake sasa, mwanzo anasema alikuwa anajua jamaa anazuga, ila ilifikia muda akamwelewa.

Kazi aliyonayo ni kumlinda jamaa, maana inafikia kuna watu wa pembeni wanakaribia ku-abuse care za jamaa. Kuna wale wa ofisini kwake ni shida.
 
wakati wewe unajivunia kujua kingee mwenzio anapiga hela na watoto wazurii [emoji23][emoji23] poyeeeee.
Tafuta hela kijanaa hayo mengine watoto wazuri hawayazingatii
Hii id imepotea sana, nakusalimu we mdada

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Mkuu hilo neno maana yake nini maana napata tabu kuyafsiri na form four yangu.nina maana mbili.

1.nakupenda wewe chizi

2.nakupenda kichizi

Ipi sahihi mkuu?
Mkuu huu mpangilio unamakosa lakini kwaababu umesemwa na mwenye hela basi tu watu wamefunika kombe...maana utaambiwa kingereza bila pesa unapiga kelele...so watu wengi humu wamekausha tuu...sasa we endelea uone backfire yake hahaaa

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Mkuu huu mpangilio unamakosa lakini kwaababu umesemwa na mwenye hela basi tu watu wamefunika kombe...maana utaambiwa kingereza bila pesa unapiga kelele...so watu wengi humu wamekausha tuu...sasa we endelea uone backfire yake hahaaa

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
Nadhani limetumika kama swagger tu mzee baba Ni Kama neno baddest kwenye English hili neno halipo japo watu wanalitumia ku express feelings

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inapendeza...

Ndiyo mfanyabisahra pekee mwenye mafanikio anayeweka mahusiano yake wazi...

Wengi waliyobaki ni kuruka na vibinti vya watu nchi za mbali...

Cc: mahondaw
 
Marioo ndo wanapenda mizigo,??[emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
KUNA TAFITI ZINACHEKSHA ETI WANAWAKE WENYE MAKALIO WANAOONGOZA KWA KUZAA WATOTO WENYE AKILI, ASA SI WAKOREA, WAJAPANI, WACHINA WANGEONGOZA KWA UJINGA, ALIESEMA AKILI ZINAKAA MAKALIONI ALIKUWA NA MAANA GANI???? SINA MAANA MARIOO WANAPENDA MZIGO LA HASHA
 
Back
Top Bottom