Nani alikuambia tunataka kujua kinachomsumbua Mzee Mengi?Mbona washasema. Wengi mambumbu wamejua internet baada ya mchina kuanza kutengeneza smartphones.
Mbona hujatuambia kinachokusumbua wewe?
Ni kwa vile hayatuhusu na ugonjwa ni siri ya mhusika,
Sasa hayo yanatokea wapi?
Wivu tu!