Miaka 5 ya Anniversary ya Reginald Mengi na Jackline Mengi wote wafunguka

Miaka 5 ya Anniversary ya Reginald Mengi na Jackline Mengi wote wafunguka

Wivu na nini sasa kwa mfano ?.kuishi na mzee wa miaka 80 huku nikiwa na miaka 35 kisa pesa ?????Money is not everything.
mwenzako yuko happy ana uhakika na maisha yake ya baadae, mzee hata akifa anaachiwa asset za kutosha
 
Hili zee bana linatuzidi ela linatuzidi hadi kwa fix.. Kwani vijana tunakwama wapi aseeh?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Sijui kama kuna aliyeuliza nani kaandika hizo text, halafu ugonjwa wa mtu ni privacy yake na tujifunze kuheshimu hilo.

Sana mkuu halafu hakuna haja ya kuleta CHUKI NA WIVU kwa maisha ya watu. Hawa wanapendana ndo maana wanakaa pamoja inawezekana kila mmoja ana malengo yake ktk muungano huo. Lakini hakuna haja ya kuanza kuwasema vibaya, wewe pambana na MUNGU atakusaidia utatoka tu.
 
Siku Kama ya Leo mwaka 2015 mfanyabiasha maarufu mzee Mengi na mrembo Jackline Ntuyabaliwe walifunga ndoa na kubahatika kupata watoto.
Wakitimiza miaka 5 kwenye ndoa wanandoa hao wamefunguka mtandaoni kuonyesha hisia zao kwa Kila mmoja
View attachment 1055885View attachment 1055886View attachment 1055887

Sent using Jamii Forums mobile app
NDIO RAHA YA KUWA NA MWANAMKE BADO JANKI, AFYA NJEMA, MWONEKANO ANAWEZA HADI SHINDANA U MISS TENA, TATIZO DADA ZETU WANAKALIA MIILI MIZITO MIZITO TU WAKISHAANZA KUZEEKA NYAMA ZINASHUKA CHINI WANAANZA KUWA NA MAKUNYANZI BADO WADOGO, WAIGE MIFANO YA WAKOREA, WAJAPAN NA WAHINDI, UNAPOZIDI KUKUA HAIIITAJI UWE NA MWILI LIKUBWAAAA KUWA SIMPLE, PORTABLE AND EASY TO HANDLE, KAMA NAWAONA WAZEE KWA KUPENDA UMARIOOOOO WAKINUNA, hahahahahahahahahahahahahahahahahahahaha
 
hii nimeisoma mahali wanaita 'age-disparate relationship', na katika masuala ya ngono wanaita 'intergenerational sex'. Research articles kibao zimeandikwa na zote zinasema ni mbaya. Lakini kwa mtazamo wangu nafikiri ni tamu.
 
I love you crazy
Mkuu hilo neno maana yake nini maana napata tabu kuyafsiri na form four yangu.nina maana mbili.

1.nakupenda wewe chizi

2.nakupenda kichizi

Ipi sahihi mkuu?
 
Money remain the only catalyst to make relationship live or dies.

So to Young men out there,
Before you think of beautiful girls out there think how deep is your pocket.

Remember, age is number applies only for few wealth men down there not to all men out there😂😂
Endeleeni kuzichanga hela popote zilipo, iwe kusini au kaskazini zifuate vinginevyo hawa wazee wataendelea kutunyoosha.
 
Back
Top Bottom