Miaka 5 ya Anniversary ya Reginald Mengi na Jackline Mengi wote wafunguka

brave one

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
4,876
7,366
Siku Kama ya Leo mwaka 2015 mfanyabiasha maarufu mzee Mengi na mrembo Jackline Ntuyabaliwe walifunga ndoa na kubahatika kupata watoto.
Wakitimiza miaka 5 kwenye ndoa wanandoa hao wamefunguka mtandaoni kuonyesha hisia zao kwa Kila mmoja
Screenshot_20190328-101444~2.jpeg
Screenshot_20190328-101613~2.jpeg
Inst-image-10.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapo watu huwa hawana tofauti na shetani, wakiona wenzao wanafurahia chochote ktk maisha wanakasirika mpaka wanajikojolea. Ugonjwa wa mtu au udhaifu wowote unaoujua una uhusiano gani na furaha yake. Katika haya maisha kila mmoja ana siri yake .Hongera mzee Mengi, hongera sana, kula matunda ya jasho lako na umalize siku zako kwa furaha na amani. Waafrika tutafute pesa, tupunguze umbeya usio na faida kwako.
 
Back
Top Bottom