wehoodie
JF-Expert Member
- Nov 20, 2011
- 1,037
- 1,026
Ukweli ni kuwa kipato chako ni kidogo kuliko mahitaji.
Kwa miezi miwili jaribu kurekodi matumizi yako yote utagundua hizo unazosema hujui zinaenda wapi zinapoishia. Lakini hakika unakipato kidogo kuliko matumizi. Tukichukulia usafiri/mafuta, kula, simu, social/bata, umeme, maji, gas/nishati, vocha, shopping n.k. Kwa kifupi mshahara wako ni mdogo jipange.
- Tafuta chanzo kingine cha mapato kiongezee kipato bila hivyo hali haiwezi badilika.
- Tafuta kazi itakayokupa kipato kikubwa.