DAVID PALMER
JF-Expert Member
- Jan 19, 2020
- 325
- 1,631
- Thread starter
- #21
Mnashangaa nini? Mbona possible tu. Ni maamuzi. Na nilishafungua uzi humu nkaelezea namna nmejenga.Nyumba mil 8. Duh
Mnashangaa nini? Mbona possible tu. Ni maamuzi. Na nilishafungua uzi humu nkaelezea namna nmejenga.Nyumba mil 8. Duh
tuseme house girl kakuzidi kwa kukutanisha mishahara yake ya 30k?? bora uache hiyo kazi ya hand to mouth!!
Vyumba viwili na sebule... freshNyumba ya milioni 8 sijui inafananaje Yarabi!
Usishangàe mkuu labda yupo mkoa!Nyumba milioni 8, wakati mi nishautumia milioni 80 na nyumba haijaisha. Hiyo nyumba au utopolo
Huyu huenda ni mhaya!Hauna kichwa kingine nyumbani.maana ichi kilicho comment apa nahisi ni kibovu
Utawekewaje hela na mwanamuke wewe! Kwanini usiwekeze?Nshajaribu mara 2. Tatizo la wife ninammudu mno. Naenda kuchukua. Maana sipendi kukaa bila hela. Nikiishiwa tuu nataka hela zangu... ananipa
Ďah kuna staff mwenzetu mme wake ni mtu wa gambe sana .sasa akipata mkwanja kabla hajaenda kulewa anampatia mkewe amuhifadhie pesa.Ila akishatupia mbili tatu anarud maskani akiwa mbogo anataka apewe mkwanja wake yaan anatishia hadi kichapo kwa mkewe.Umemalizaa Mkuu...!!
Japo ni risk lakini kama una mwanamke anaejielewaa mpe akushikiee baki na kiasi kidogo cha matumizi na mkeo awe mbinde sanaa yani kila ukitaka hela sio anakupa tuu bora akupe ya kutumia siku hiyo tu maana umeshindwa kujiendeshaa mkuu japo haya mambo acha tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Pesa ya mshaara ina mapepo sijui
Ni wazo nzuri,afuate ushauri huu.Njoo kwenye forex $3000 zinatosha sana Ku invest na mwisho wa mwaka ikawa imefikia $30000
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hatari sana aisee!! Gambe noma sanaa inakwamisha sana vijana.Ďah kuna staff mwenzetu mme wake ni mtu wa gambe sana .sasa akipata mkwanja kabla hajaenda kulewa anampatia mkewe amuhifadhie pesa.Ila akishatupia mbili tatu anarud maskani akiwa mbogo anataka apewe mkwanja wake yaan anatishia hadi kichapo kwa mkewe.
Mzunguko unaenda ni hvo kila hela inaishia kwenye tungi yaani.
Ni hatari mzee na jamaa kabla hajatupia anakuwa mwema balaa.n weka hii 400k mama watoto ila akirudi anaziomba kibabe na akirud n ngoma saa 10 usiku hana hata chenji.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hatari sana aisee...!! Gambe noma sanaa inakwamisha sana vijana..
Ni hatari mzee na jamaa kabla hajatupia anakuwa mwema balaa.n weka hii 400k mama watoto ila akirudi anaziomba kibabe na akirud n ngoma saa 10 usiku hana hata chenji.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hatari sana aisee...!! Gambe noma sanaa inakwamisha sana vijana..
anazungumzia vyumba viwili au kamalizia ujenzi uliokwisha kuanzaNyumba milioni 8, wakati mi nishautumia milioni 80 na nyumba haijaisha. Hiyo nyumba au utopolo
Hebu jaribu kuangalia vizuri kama asubuhi hukusahau kichwa chako chooni mkuuNyumba milioni 8, wakati mi nishautumia milioni 80 na nyumba haijaisha. Hiyo nyumba au utopolo
Wakuu, hii ni nini?
Nilipomaliza chuo, 2014 nikapata shule fulani ya kujishikiza huku nikisubiri ajira ya fani yangu. Mshahara ulikua 400k kwa mwezi. Nilikuwa naishi fresh, natuma kwa maza home, namlipia dogo tution mapambako akija likizo na pesa ikawa inakutana na mshahara ujao. Nilifundisha kwa mwaka mmoja na sijawahi ishiwa.
Mwaka 2015 nikapata ajira yangu sasa. Mshahara take home ikawa ni around 900k. Lakini pesa haijawahi kutana. Sinywi pombe, naendaga club na matamasha ya muziki mara moja moja lkn sijawahi tumia zaidi ya 30. Na kwa mwezi labda ktk bata naenza enda mara 2 au 3.
Mwaka 2018 nikapata kazi ingine, take home ikawa zaid ya 1.2m. Nilkuwa nishaoa. Wife nikawa nampa 300k matumizi, inabaki 900k. Wazazi na nini labda inabaki 700k. Lkn haijawahi wekeka bank ikutane na mshahara ujao na sioni nimefanyia nini.
Nikaona siwezi weka pesa nikaamua kuchukua mkopo 8m nikajenga nyumba nimehamia home. Makato 410k. So nikikatwa mkopo nabaki na hela lakini same story, hazikutani a mshahara ujao.
Kuna mtu anapitia situation kama hii isiyo na majibu? Tukutane hapa.
Uzi tayari
Hata mie nimejiuliza kweli kweli..