Kimbunga
Platinum Member
- Oct 4, 2007
- 14,941
- 9,947
Mkuu wote hao ni wanawake kweli? Umewadhihaki akina mama, waombe radhi akina FF
chama cha wanawake
Ambao saa yoyote kugeuka ni rahisi
Mkuu wote hao ni wanawake kweli? Umewadhihaki akina mama, waombe radhi akina FF
chama cha wanawake
Ambao saa yoyote kugeuka ni rahisi
Nahisi ndiyo wanalia kwa kupigika na maisha wanageuziwa kibao eti wanalia kwa furaha sijui fura gani waliyo ipata ktk miaka hii hadi watoe chozi la furahaMkuu wote hao ni wanawake kweli? Umewadhihaki akina mama, waombe radhi akina FF
mchana kweupee bila hurumaMagamba at work
amini usiamini ewe ndugu, kijana, mama, kaka, mjomba, shangazi, dada CCM inapendwa na kada zote za kijamii, hayo yamedhihirika leo mwanza ambapo watu takribani 100,000 walikuwa uwanjani kirumba kushuhudia mtoto mpya akizaliwa baada ya kujivua gamba. Umaarufu wa chama cha mapinduzi umewashangaza wengi leo na mbaya zaidi ni pigo kwa cdm baada ya kuondokewa na wanachama wake zaidi ya 4500 wakiongozwa na vigogo wao, huku wengine wakiahidi kurudisha kadi baada ya sherehe.
kwa macho yangu nimeshuhudia wamama kwa wababa wakilia machozi yaliyoambatana na mayowe na baadhi ya watu walianguka hii nikutokanana na kulia muda mrefu
Mama leo aligeuka kivutio uwanjani na mara tu baada ya kuingia uwanjani vifijo na nderemo vilitawala
furaha
watu wamepagawa na mtoto mpya
vigogo walihudhuria
Hongera...maisha yamekuwa bora ndo maana wamefurahi na alivyoingia mama ambaye anajua uchungu wa masiha na kupanda kwa gharama...wakazidi kuwehuka..kwa kweli hiki ni chama cha kuwajali wanyonge.....
mmefanikiwa mno na uchumi unapaa hata huku mtaani mnapendwa mno kwani hali za uchumi zimeboreka na raia hawalali njaa.
katubu kwa mama Lwakatare anahitaji kuwaombea watu kama nyinyiAcheni us.enge Kirumba ni watu 20000 ! Hao 100000 ni uchakachuaji
watu 100,000 Kirumba !!? Uwanja wa Taifa (mpya) unachukuwa watu 60,000 ! Au ulimaanisha Santiago Barnebeu ?amini usiamini ewe ndugu, kijana, mama, kaka, mjomba, shangazi, dada CCM inapendwa na kada zote za kijamii, hayo yamedhihirika leo mwanza ambapo watu takribani 100,000 walikuwa uwanjani kirumba kushuhudia mtoto mpya akizaliwa baada ya kujivua gamba. Umaarufu wa chama cha mapinduzi umewashangaza wengi leo na mbaya zaidi ni pigo kwa cdm baada ya kuondokewa na wanachama wake zaidi ya 4500 wakiongozwa na vigogo wao, huku wengine wakiahidi kurudisha kadi baada ya sherehe.
kwa macho yangu nimeshuhudia wamama kwa wababa wakilia machozi yaliyoambatana na mayowe na baadhi ya watu walianguka hii nikutokanana na kulia muda mrefu
Mama leo aligeuka kivutio uwanjani na mara tu baada ya kuingia uwanjani vifijo na nderemo vilitawala
furaha
watu wamepagawa na mtoto mpya
vigogo walihudhuria
...Yeyote yule ambaye anaikimbia CHADEMA na kwenda CCM wakati CCM inaingamiza nchi katika kila nyanja ya maendeleo nchini basi ana akili finyu sana au hajui nini kinachoendelea nchini.
watu 100,000 Kirumba !!? Uwanja wa Taifa (mpya) unachukuwa watu 60,000 ! Au ulimaanisha Santiago Barnebeu ?
Hii ndiyo iwajulishe kuwa CCM ndio namba wani.
Acheni us.enge Kirumba ni watu 20000 ! Hao 100000 ni uchakachuaji
Vp Wamemualika Roma mkatoliki?