Chimunguru
JF-Expert Member
- May 3, 2009
- 10,678
- 4,349
Hahaha msitake nicheke mie CCM kabisaa namba wani!! ptuuuu!!
Vipi waolikuwa wanalia wenyewe haikuruhusuwa kuwapiga picha?. Maana hazijaonekana hapa
Namba wani kwa ufisadi au kwa kujivua magamba?Hii ndiyo iwajulishe kuwa CCM ndio namba wani.
Umesahau kuwa sherehe hizo zilirushwa live na star tv pia tbc 1, waliopewa kadi za ccm ni 30 na wala hawakutajwa wanatoka chama gani.Sasa hao wanachama 4500 wa chadema wewe umewatowa wapi? Mtu mzima hovyooo!soma vizuri ni kilio cha furaha watu walifurahi kupita kiasi ndo wakaanza kulia
amini usiamini ewe ndugu, kijana, mama, kaka, mjomba, shangazi, dada CCM inapendwa na kada zote za kijamii, hayo yamedhihirika leo mwanza ambapo watu takribani 100,000 walikuwa uwanjani kirumba kushuhudia mtoto mpya akizaliwa baada ya kujivua gamba. Umaarufu wa chama cha mapinduzi umewashangaza wengi leo na mbaya zaidi ni pigo kwa cdm baada ya kuondokewa na wanachama wake zaidi ya 4500 wakiongozwa na vigogo wao, huku wengine wakiahidi kurudisha kadi baada ya sherehe.
kwa macho yangu nimeshuhudia wamama kwa wababa wakilia machozi yaliyoambatana na mayowe na baadhi ya watu walianguka hii nikutokanana na kulia muda mrefu
Mama leo aligeuka kivutio uwanjani na mara tu baada ya kuingia uwanjani vifijo na nderemo vilitawala
furaha
watu wamepagawa na mtoto mpya
vigogo walihudhuria
Ndiyo, ccm namba wani kwa ufisadi na wizi.Hii ndiyo iwajulishe kuwa CCM ndio namba wani.
soma vizuri ni kilio cha furaha watu walifurahi kupita kiasi ndo wakaanza kulia
Mkuu niliona na kusikia kwamba wale 30 walikuwa ni wawakilishi wa wanachama wengine. Nimesahau idadi ila ninachokumbuka kuona ni kwamba kati ya hao 30 wazee walimuwa wengi.Umesahau kuwa sherehe hizo zilirushwa live na star tv pia tbc 1, waliopewa kadi za ccm ni 30 na wala hawakutajwa wanatoka chama gani.Sasa hao wanachama 4500 wa chadema wewe umewatowa wapi? Mtu mzima hovyooo!