Miaka 35 ya ccm: Wananchi watokwa machozi ya furaha (picha)




Zilipendwa mpaka akina ccm wenyewe siku hizi wameishaiteka hii hoja! hakisaidii chama kwa muda huu!




sera za nyumba tano tano ziliishia wapi? na inatekelezwa vipi??

Next election tutasimamisha mgombea kila jimbo na tutawaweka mawakala kila sehemu? au itakuja hadithi ile ya 'tulishinda' huku tuna wabunge 23 na serikali za mitaa asilimia 8, na hatukuweka mawakala sehemu zingine...kisa ukata na huku fedha IKILIWA makao makuu! au haukusikia TRA wakilalamika hatutoi kodi..that was indicator of something big is going on!!

Zanzibar si umeona tulivyoaibika? tumejitayarishaje kuwa na mgombe amwenza au tutaenda chini sokoni kumchukua mkwezi asiyekuwa na lengo hilo!

Vipi tuhuma za udini na ukabila chadema inafanya nini kujinasua??

FYI ukabila ni tatizo kubwa hata kama hili hamtaki kulisema,

chadema kiwe na sura ya kitaifa...tangu imeanza kulalamikiwa mpaka wa leo hakuna kitu

Tell them to resolve these! upo??

Msidanganyane CDM inapaa hali haiko hivyo kwenye field...trust me! ukibisha unabisha tu

nimemaliza

Mkuu unavyoichambua CHADEMA!
Lakini nakumbuka Mwanakijiji alivyomchambua Magufuli ulihamaki mno!.... hadi hapa sijakuelewa...
Uhuru wa kuchambua kitu uwe nao wewe tu!! Na itakuwaje CCM 2015 wasipomteua Magufuli kugombea uraisi wakamteua Hussein Mwinyi .
Hata vivyo kama kweli unaamini CCM inapendwa na inashinda kwa sababu ya kupendwa, hebu washauri CCM na raisi wake waridhie kuunda tume huru ya uchaguzi then waingie kwenye uchaguzi hilo tu hata katiba ikibaki hihii yenye matege!
 



Zilipendwa mpaka akina ccm wenyewe siku hizi wameishaiteka hii hoja! hakisaidii chama kwa muda huu!




sera za nyumba tano tano ziliishia wapi? na inatekelezwa vipi??

Next election tutasimamisha mgombea kila jimbo na tutawaweka mawakala kila sehemu? au itakuja hadithi ile ya 'tulishinda' huku tuna wabunge 23 na serikali za mitaa asilimia 8, na hatukuweka mawakala sehemu zingine...kisa ukata na huku fedha IKILIWA makao makuu! au haukusikia TRA wakilalamika hatutoi kodi..that was indicator of something big is going on!!

Zanzibar si umeona tulivyoaibika? tumejitayarishaje kuwa na mgombe amwenza au tutaenda chini sokoni kumchukua mkwezi asiyekuwa na lengo hilo!

Vipi tuhuma za udini na ukabila chadema inafanya nini kujinasua??

FYI ukabila ni tatizo kubwa hata kama hili hamtaki kulisema,

chadema kiwe na sura ya kitaifa...tangu imeanza kulalamikiwa mpaka wa leo hakuna kitu

Tell them to resolve these! upo??

Msidanganyane CDM inapaa hali haiko hivyo kwenye field...trust me! ukibisha unabisha tu

nimemaliza

Ni sawa tu na anayebisha kuwa ccm inaelekea mwisho kabisa. Ni ubishi tu mkuu ila JK anatambua
 
Uwanja wa Taifa DSM ambao ndio mkubwa hapa TZ unachukua watu 60000 hii ni dhahiri kuwa mtoa mada hakuwa makini kuhesabu. Tuache hayo! Kulia ni kulia tu mbaya zaidi ni vigumu kutofautisha machozi ya FURAHA na yale ya HUZUNI kwani yote hutoka sehemu moja. Nilijualo na niliaminilo mimi ni kuwa nchi hii inahitaji kizazi kipya kinachoweza kufikiri kimantiki. Mashaka yangu nani mama yuko tayari kubeba UJAUZITO azae kizazi hicho? TAFAKARI CHUKUA HATUA.
60000 uwanja wa taifa ni sitting capacity ,yaani watu wakikaa kwenye viti , lakini wakisimama pembeni na kwenye uwanja wenyewe (football pitch) inaweza ikafika 100,000. Sio kwamba nasupport kwamba Kirumba walihudhuria watu 100,000.
 
Kwa nini Mwanza ambako 2010 CCM ilipoteza majimbo yote mawili kwa CHADEMA? Meya wa Mwanza ni wa CHADEMA. MaDIWANI wengi ni wa CHADEMA. Kwa nini sherehe hizi zilipelekwa Mwanza?
 
Mbona sioni mtu anaelia hapo? Ila wenye huzuni tu?
Acheni unazi usio na msingi, hakuna mtz awe tajiri,masikini,msomi au simsomi jua kuwa haipendi ccm, na ukiona anashangilia ujue keshachukua elfu kumi!

Hao wote miili yao ndio ipo hapo ila akili zao zote zinaililia tanzania mpya!

#ChangeTanzania
 
60000 uwanja wa taifa ni sitting capacity ,yaani watu wakikaa kwenye viti , lakini wakisimama pembeni na kwenye uwanja wenyewe (football pitch) inaweza ikafika 100,000. Sio kwamba nasupport kwamba Kirumba walihudhuria watu 100,000.
ccm%2B7.jpg


Kama walikuwa kwenye pitch na wacheza ngoma walikuwa wapi? Mbona picha zinaonesha wacheza ngoma kwenye pitch?

Halafu angalia hata kwenye seats za kwenye stands: empty spaces nyingi tu.
 
Mleta mada ana elimu ya std 7, namfahamu sana kipindi cha uchaguzi alitaka kugombea ubunge maeneo ya tarime ila jimbo sikumbuki, ccm wakamtosa kulingana na elimu yake. Upeo wake ndo umeishia hapo kama ni yeye kweli. This is totally a crap! Nani aliyeona aliyezimia na kuanguka kwa furaha hapo? Wote hapo hawajui watarejeaje makwao maana baada ya sherehe watatelekezwa.
 
soma vizuri ni kilio cha furaha watu walifurahi kupita kiasi ndo wakaanza kulia

Alaaaaaaaa Kumbe ndio mchezo wenu!!!!!!!!!

Yaani hapa wanalia kilio cha furaha kwa sababu jamaa wanatoa kafara ya Wagonjwa Watanzania walalahoi katika mahospitali ya Serikali nchini. Kumbe ni makusudi kuto wasikiliza na kuchelewa kushughulikia tatizo la mgomo huu mbaya ambao haujawahi kutokea nchini na kuleta madhara kiasi hiki.

Yaani Wakati watu wanateketea na wengine sisi tusiojua siri iliyopo tunafikiri ni uzembe wa Serikali kumbe siyo uzembe inaonyesha ni makusudi ya Serikali katika kutoa Watu Kafara. Tumeshuhudia uzembe kama huu wakati wa ajali ya meli iliyozama Pemba ( Ilikuwa ni kafara ili kushinda Chaguzi ya Kule katika Jimbo la IGUNGA SINGIDA) na leo kuna harakati za chaguzi zinazoendelea kule Zanzbar, (bila shaka ndio hii kafara inayotolewa sasa)

Binafsi sijui ni kafara ya aina gani au ni nani atakayetolewa katika chaguzi ya Arumeru.

EE MUNGU TUSAIDIE!!!!!!! TUOKOKE NA HILI BALAA!!!!

Sioni sababu ya kufanya sherehe wakati nyumbani mwako kuna msiba, sioni sababu ya kupiga vigelegele na kushangilia makaburini wakati mnazika!!!!!!!! (Labda kama ni suala la Watani wa kabila la Wafiwa - Sasa sidhani kama hawa wanaocheza na kushangilia wote wana utani naWalalahoi waliofariki kutokana na Mgomo wa Mdaktari)

yaani nashindwa hata kuendelea kuandika kwani ROHO INANIUMA SANA!!!


MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!!
 
Hii ndiyo iwajulishe kuwa CCM ndio namba wani.

namba wani ya wizi na dhuruma na uongo pumbaaaf!! inatia uchungu mnawachezesha vitoto vya watu visivyokua na hatia ili mpate picha za magazetini hao watoto hamuajali, huduma za afya mbaya, shule ovyo kila kitu ni shida tu yaani miaka 35 ya ujinga ni sawa na ile 50 mnayosema tanzania, hivi hiyo pesa ya kufanya sherehe sherehe mnaitoa wapi? ua ndio kwa kuwa ****** jadi yake ngoma ngoma na sherehe na kula pilau? anakera sana ujinga huu mpaka lini mtagundua kuwa hamtendi haki kwa watanzania?
 
huyu jamaa hamjamwelewa na pia nafikiri mimi peke yangu ndiye niliye mwelewa.
kifupi kawapa dongo ccm.
 
DALILI ZA KUFA CCM NHAHAHAAAA!FUMBO MFUMBIE MJINGA WELEVU TUNALING'AMUA!U hev no way bt 2 surender
 
kwa jnc hyo sherehe ilvyofanyika budget 2jifunge mkanda kwa hk kpind wakihangaika kuirudisha 2co na ajira 2tafute 2 mirad binafs kwn ajira mwisho madokta nae cjui ingawa wanadai ccm inavitega uchum ila na mashaka ktk hli kwn hyo hela lzma irud.
 
amini usiamini ewe ndugu, kijana, mama, kaka, mjomba, shangazi, dada CCM inapendwa na kada zote za kijamii, hayo yamedhihirika leo mwanza ambapo watu takribani 100,000 walikuwa uwanjani kirumba kushuhudia mtoto mpya akizaliwa baada ya kujivua gamba. Umaarufu wa chama cha mapinduzi umewashangaza wengi leo na mbaya zaidi ni pigo kwa cdm baada ya kuondokewa na wanachama wake zaidi ya 4500 wakiongozwa na vigogo wao, huku wengine wakiahidi kurudisha kadi baada ya sherehe.


kwa macho yangu nimeshuhudia wamama kwa wababa wakilia machozi yaliyoambatana na mayowe na baadhi ya watu walianguka hii nikutokanana na kulia muda mrefu

ccm%2B6.jpg


ccm%2B5.jpg

Mama leo aligeuka kivutio uwanjani na mara tu baada ya kuingia uwanjani vifijo na nderemo vilitawala

ccm%2B10.jpg

furaha
ccm%2B11.jpg

watu wamepagawa na mtoto mpya

ccm%2B7.jpg


ccm%2B8.jpg


vigogo walihudhuria
ccm%2B3.jpg

OLD SCHOOL!.................."Vilio vya furaha vya wananchi!" what a game in Tanzanian "POLITIKI". Was the CCM 35 yrs anniversary celebration in Mwanza a comparative show to 10 yrs of CDM's gains of popularity in the country? Why CDM and not the whole opposition?. If they cried it is because they are mourning for their critically sick PARTY in the ICU. CCM Members travelled from all over the country for the occassion in Mwanza, that was a national assembly of CCM members, even my uncle was there from Songea. I better watch English Premier League than Tanzanian POLITIKI. Wake Up Tanzanians!
 
Si unaona CCM inavyosambaratika kwa maovu yake kuanikwa hadharani na CHADEMA? Huoni hata hoja nyingi za CHADEMA zinavyochukuliwa na Magamba na kuzifanya ni za kwao. Pamoja na propaganda kali za Magamba na CUF kwamba CHADEMA ni chama cha kikabila na kidini lakini bado inaongezeka kupata umaarufu kila kona ya nchi, labda kwako wewe unaona wanayoyafanya CHADEMA ni "zilipendwa" lakini Magamba wanahaha sasa mara tutalivua gamba, mara gamba si rahisi kulivua yote haya yanatokana na kuihofia CHADEMA na hata Kikwete kawaita juzi IKulu kuzungumzia mchakato wa katiba.

CHADEMA kama ingekuwa zilipendwa basi sidhani kama Kikwete angethubutu kuwaita ili washiriki katika mchakato wa katiba mpya na hivyo kuomba mawazo yao, ila kwako wewe mafanikio yote haya ya CHADEMA, chama cha kikabila na kidini bado ni zilipendwa. Mkuu hata rome haikujengwa kwa siku moja na pale unapokuwa unapambana na chama tawala, tume ya uchaguzi na vyombo vya dola basi mabadiliko huchelewa zaidi Mkuu!!


Asante BAK....

Kuna jamaa anasema gamba limevuka ila limeng'angania kiunoni!! ha ha ha!

Kumbe una ka msimamo.. I like that way
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom