Miaka 35 ya ccm: Wananchi watokwa machozi ya furaha (picha)

ccm%2B11.jpg

chama cha wanawake

Ambao saa yoyote kugeuka ni rahisi
Mkuu wote hao ni wanawake kweli? Umewadhihaki akina mama, waombe radhi akina FF
 
Mkuu wote hao ni wanawake kweli? Umewadhihaki akina mama, waombe radhi akina FF
Nahisi ndiyo wanalia kwa kupigika na maisha wanageuziwa kibao eti wanalia kwa furaha sijui fura gani waliyo ipata ktk miaka hii hadi watoe chozi la furaha
 
amini usiamini ewe ndugu, kijana, mama, kaka, mjomba, shangazi, dada CCM inapendwa na kada zote za kijamii, hayo yamedhihirika leo mwanza ambapo watu takribani 100,000 walikuwa uwanjani kirumba kushuhudia mtoto mpya akizaliwa baada ya kujivua gamba. Umaarufu wa chama cha mapinduzi umewashangaza wengi leo na mbaya zaidi ni pigo kwa cdm baada ya kuondokewa na wanachama wake zaidi ya 4500 wakiongozwa na vigogo wao, huku wengine wakiahidi kurudisha kadi baada ya sherehe.

kwa macho yangu nimeshuhudia wamama kwa wababa wakilia machozi yaliyoambatana na mayowe na baadhi ya watu walianguka hii nikutokanana na kulia muda mrefu

ccm%2B6.jpg

ccm%2B5.jpg

Mama leo aligeuka kivutio uwanjani na mara tu baada ya kuingia uwanjani vifijo na nderemo vilitawala

ccm%2B10.jpg

furaha
ccm%2B11.jpg

watu wamepagawa na mtoto mpya

ccm%2B7.jpg

ccm%2B8.jpg

vigogo walihudhuria
ccm%2B3.jpg

CCM haina mpinzani ni chama kikongwe baba lao limelea vitoto, vimekua, kuota nduvu na kuvunja ungo vinasema CCM sio baba yetu tena
 
Ninashangazwa sana na hawa jamaa,.sherehe yote hii kweli wanakumbuka kuna watu wanataabika mahospitalini na wengine hata kupoteza maisha kutokana na mgomo wa madaktari wanaodai nyongeza ya mishahara yao?
 
Hongera...maisha yamekuwa bora ndo maana wamefurahi na alivyoingia mama ambaye anajua uchungu wa masiha na kupanda kwa gharama...wakazidi kuwehuka..kwa kweli hiki ni chama cha kuwajali wanyonge.....
mmefanikiwa mno na uchumi unapaa hata huku mtaani mnapendwa mno kwani hali za uchumi zimeboreka na raia hawalali njaa.

Uuuuwiiiii mzee 7 ,6 umeua eti? Hebu rudia basi taratiiiiiiibu
 
amini usiamini ewe ndugu, kijana, mama, kaka, mjomba, shangazi, dada CCM inapendwa na kada zote za kijamii, hayo yamedhihirika leo mwanza ambapo watu takribani 100,000 walikuwa uwanjani kirumba kushuhudia mtoto mpya akizaliwa baada ya kujivua gamba. Umaarufu wa chama cha mapinduzi umewashangaza wengi leo na mbaya zaidi ni pigo kwa cdm baada ya kuondokewa na wanachama wake zaidi ya 4500 wakiongozwa na vigogo wao, huku wengine wakiahidi kurudisha kadi baada ya sherehe.

kwa macho yangu nimeshuhudia wamama kwa wababa wakilia machozi yaliyoambatana na mayowe na baadhi ya watu walianguka hii nikutokanana na kulia muda mrefu

ccm%2B6.jpg

ccm%2B5.jpg

Mama leo aligeuka kivutio uwanjani na mara tu baada ya kuingia uwanjani vifijo na nderemo vilitawala

ccm%2B10.jpg

furaha
ccm%2B11.jpg

watu wamepagawa na mtoto mpya

ccm%2B7.jpg

ccm%2B8.jpg

vigogo walihudhuria
ccm%2B3.jpg
watu 100,000 Kirumba !!? Uwanja wa Taifa (mpya) unachukuwa watu 60,000 ! Au ulimaanisha Santiago Barnebeu ?
 
...Yeyote yule ambaye anaikimbia CHADEMA na kwenda CCM wakati CCM inaingamiza nchi katika kila nyanja ya maendeleo nchini basi ana akili finyu sana au hajui nini kinachoendelea nchini.

mkuu changamoto hiyo.....kutukana watu huku ukiimba demokrasia ni unafiki!! wajue wasijue ni wao...life goes on!

wengine huwa mnaogopa hata kukosoa chadema eti utaonekana msaliti, tunaowaamsha chadema kwa maneno makali tunaonekana hatujengi

chadema imelala, na unapotaka watu waende huko...sijui wanavutwa vipi??? fedha zote amelalia mbowe makao makuu....

utatukana tu...2015 CCM wanaishika nchi.....utaendela kulaumu tu...TELL CDM to do SOMETHING !! sio mnadanganyana kwenye keyboard!!
 
Mh..watu laki moja???. Hivi unajua lile li-wanja la Barca lenye ghorofa nne za round linaingiza 90000!?. Alafu kirumba yenye round moja iingize laki???? Hata kama walikuwepo wa kwennye pitch, it is impossible..stop kidding guys. Be realistic.
 
Acheni us.enge Kirumba ni watu 20000 ! Hao 100000 ni uchakachuaji

kwenye hako kaneno sikuungi mkono, ila kwenye hiyo idadi tuseme hawajachakachua hivi uwanja wa watu 20000 unaingiza watu 100000, hivi lingetokea janga mwenyekiti wa hiko chama angewajibika kwa maafa ambayo yangetokea
 
Mkuu mleta mada kwanza hongera kwani hata kudanganya bado hujajua! Sijaona hapo mtu anayelia zaidi ya kumuona bi kiroboto akiselebuka ,na hawa wengine mbona ni walewale?unavyofikiri chadema hawana wanachama au wapenzi kwa idadi kama hiyo?unajidanganya!hivi unajua kiingilio cha shoo kama hiyo yenye wasanii lukuki ni watanzania wangapi wanaimudu?unafikiri ni mtanzania yupi angeacha kwenda kushangaa?ukizingatia leo ni MAULID? Jumlisha tisheti na kanga za bure?wallahi hata doctor wa ukweli W P Slaa angetamani kuja ila tu ana mambo mengi ya msingi zaidi ya show ya bure na viji rushwa vidogovidogo. Poleni na upumbavu wenu wa kizamani. Sasa hivi hamumdanganyi hata mtoto wa chekechea.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom