Funny boe
JF-Expert Member
- Mar 26, 2023
- 3,380
- 7,528
Myoosho ndo Nina hapa bwabwa?Na tunahitaji myoosho.
Myoosho ndo Nina hapa bwabwa?Na tunahitaji myoosho.
Kwenye ubora wako🤣🤣Ana ID yake ya Chadema 2030
mfanyie VAR check tafadhali..!😁
Mkuu pumzika.Uzi huu unaonesha kua huna uhakika na maamuzi yako na wala hujiamini,
Ndio maana umeanzisha huu uzi ili kutafuta Public validation or Public Approval,
Naona ID yako ya Chadema 2030 umeamua kuipumzisha.
Hata mamaako Hana undugu na babaako. Nae babaako angekuwa na akili kama zako za kusema huyo mamaako ni mwanamke asiye na uchungu nae akaacha kumchukua akaamua kutunza wazazi wake wewe Leo usingekuwepo kuinua Hilo domo kuona wanawake hawana thamani.Siwez oa sitak mchumba mm n single mpaka kifo.uzur mm n msomi nimesoma had chuo kikuu udsm. Maisha yangu naitoa kuwaangalia wazazi wang wanionilea.sio mwanamke ambaye hana uchungu na mimi.
😁😁Kila ukiingia JF napata faraja ya moyo.kiukwel la mama umeuteka moyo wang nasitosita kukupenda.ww lazima uwe wangu nakupenda sana.
- Binti tz
- Replies: 21
- Forum: Mahusiano, mapenzi, urafiki
😃
Naam,Ni yeye tu ajipakulie minyama kivyake hakuna mtu wa kumzuia
Acha zako bwasheeunatumia pombe
Hahaha kajamaa kama hasira sana na sisiAna ID yake ya Chadema 2030
Huyo Mungu huwezi kuthibitisha yupo.Watu wanatoa maisha yao kwa Mungu wewe unayatoa kwa mwanadamu! Nani alikuambia ukioa unapoteza uhusiano wako na wazazi wako, nani alikudanganya elimu yako inaziba pengo la ndoa!?
Urunguu, atiiiMyoosho ndo Nina hapa bwabwa?