Smooth Criminal
JF-Expert Member
- May 13, 2024
- 1,743
- 3,131
mimi mwenyewe ni kataa ndoa lakini najua ni utoto tu, nikifikisha miaka 60 hiv nitaacha. lakini sijaweka alarm kama weweNdio
mimi mwenyewe ni kataa ndoa lakini najua ni utoto tu, nikifikisha miaka 60 hiv nitaacha. lakini sijaweka alarm kama weweNdio
Ko Joh unataka kusema huyu ni mie kwa vazi jingine?
😂😂😂 jamaniii
😂😂😂Tuh Tuh zimenikumbusha yeye
Coca ana tuh na tyu 😁
Kwamba wewe coca na mtoa mada nyote ni upindeKo Joh unataka kusema huyu ni mie kwa vazi jingine?
😂😂😂
Na tunahitaji myoosho.Kwamba wewe coca na mtoa mada nyote ni upinde
100% possible 😂😂Ko Joh unataka kusema huyu ni mie kwa vazi jingine?
😂😂😂
Aah wapii!! Hapanaa 😂😂😂100% possible 😂😂
Ni yeye tu ajipakulie minyama kivyake hakuna mtu wa kumzuiaMaisha yako, uamuzi wako.
Hakuna wa kukupangia hata ukiamua kutomsaidia mama yako mzazi.
Watoto pia hutaki?Siwez oa sitak mchumba mm n single mpaka kifo.uzur mm n msomi nimesoma had chuo kikuu udsm. Maisha yangu naitoa kuwaangalia wazazi wang wanionilea.sio mwanamke ambaye hana uchungu na mimi.
mfanyie VAR check tafadhali..!😁Mbona kama vile hii simu imebadilishwa Kioo!
Ana ID yake ya Chadema 2030mfanyie VAR check tafadhali..!😁