Chadema 2030
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,916
- 3,748
unasifia usela na venye ngoma ni tamu
SawaHuyo Mungu huwezi kuthibitisha yupo.
Na hata ukitoa naisha yako kwa Mungu, sadaka yako anakula mtu tu.
Huekewi wapi?
Wewe naye Lisu anakupambania?Siwez oa sitak mchumba mm n single mpaka kifo.uzur mm n msomi nimesoma had chuo kikuu udsm. Maisha yangu naitoa kuwaangalia wazazi wang wanionilea.sio mwanamke ambaye hana uchungu na mimi.
Huwa mnatambuaje Id nyingine za wadau?Uzi huu unaonesha kua huna uhakika na maamuzi yako na wala hujiamini,
Ndio maana umeanzisha huu uzi ili kutafuta Public validation or Public Approval,
Naona ID yako ya Chadema 2030 umeamua kuipumzisha.
Mama yake ni mwanaume?Wanawake ni vichomii achana nao, wekeza maisha yako kwa mama mzazi.
mkuu umeweka alarm ikuamshe ukatae kuoa kila siku asubuhi...
mkuu umeweka alarm ikuamshe ukatae kuoa kila siku asubuhi...