Naunga mkono hoja..Mimi ni wakwanza sitak kumpa mtoto wangu jina la kurithi kabisa ntampa hayohayo yanayoonekana yakizungu, mimi nina jina la kurithi linanitesa balaaa mizimu hainishi nipo napambana na maombez kanisani kwasabu sitaki uganga na wenzangu wenye hilo jina karibu wanne wamekua waganga kisa ni hilohilo jina lol
Umekosa jina la kutea mfano?Ukimwita muhamad si ndio umerithi mila za waarabu tena mtu usiyemfahamu?
Ni bora umtaje jina la kurithi la mtu unayemfahamu
Nilikuwa Kilimanjaro wiki iliyopita kwenye ubatizo wa mtoto wa mshikaji. Mtoto anaitwa 'Pandemic Covid Lyimo'.Miaka 20 ijayo majina ya Asili Tanzania ya makabila kama Ngonyani, Mkude, Kimaro, Haule, Maduhu, Mwita, Wambura, Mabada, Sumari, Kiondo nk yatakua ni ya kuhesabu ana ni ya kutafuta ama yatakua yameisha kabisa.
Leo 95% ya watoto wanaozaliwa majini ni James, John, Abdalah, Mohamed, Abdrazak, Jayden, Johnson, Beatus, Julius, julieth, Jayna, Jasmine, Chris, nk nk.
Wazazi wa siku hizi unakuta kabisa wanauliza eti naomba jina zuri la mtoto wa kike, naomba jina zuri la mtoto wa kiume halafu mapendekezo yanayotolewa huwezi kukuta jina la asili hata moja.
Uzungu, ulimbukeni na ushamba utafuta kabisa majina ya asili ya wazee wetu wa zamani, watasahaulika kabisa.
Mimi binafsi sijawahi kuona ni wapi dini inalazimisha kwamba ni lazima mtu abatizwe kwa majina ya kizungu ama ya jamii nyingine, sasa sijui hii ya kwetu inatoka wapi.
Nashindwa kuelewa, kwamba nikibatizwa John ndio Mungu anapenda ila nikibatizwa Majura Mungu hapendi ama ni nini? Mungu anafanyia nini jina langu?
Sawa ioa ukifa unaungana na ndugu zako uliowakana na wao wanakukana ni bora kua kat kat hapa usinielewe vibaya maana maandiko yenu yanasema usiwe moto wala barid kua upande mmoja ila unaweza kua kwa mungu wa kweli ambae anaitambua uwepo wa roho hizo ndio maana katika sala ya marehem wanatamka usikumbuke roho zilizo toharan tohara ni roho zilizo kat kat ya mungu na dunia ambayo bado zipo hai ni kama eneo la kusafishwa kuelekea mahala patakatifu kwa mungu hapa ndipo ilipo mizimu na kua kat kat kwenye dini zenu maana ukijitenga watakutenga kikubwa wanachoitaji ni sadaka yako tu haijalish wewe nan unafanya dhamb au lahWe amini unavyoamini na mie niache! Siwezi kuabudu mtu aliyekufa ambaye anataka kila mwaka nimwage dam sijui niague mtu! Niache ustarabu wa kuvaa sut na baibui nivae kaniki?
Atuganile tuntufye mwakifulefule...kwanza refu balaa😅Hakuna cha mizimu ila hayo majina yana sound nasty
Bora ujiite xiang ping kuliko Atupele Mwakaboko
Haya yote Ni Hebrew by origin.. so hakuna utata hapoWanangu nitakuwa kuwapa majina yenye utata hujui kabila gani Wala dini gani kama ibrahimu ,mussa ,Sophia,adam
Kuna siku nilikuwa napita pale soko matola kwenye ile round about kuna sehemu wameorodhesha majina ya wanajeshi waliokufa na kuzikwa eneo hiloAtuganile tuntufye mwakifulefule...kwanza refu balaa😅
Mmh kwa kweli sijui wahenga walifikiri Nini kutunga hayo majina.Kuna siku nilikuwa napita pale soko matola kwenye ile round about kuna sehemu wameorodhesha majina ya wanajeshi waliokufa na kuzikwa eneo hilo
Aise nilijikuta nashindwa kujizuia yani nilicheka yale majina yalikuwa mapya kwangu.
Yale majina yanachekesha aisee asikuambie mtu, kuna moja liliamdikwa antutusuigwege mwakilongwa.
mmh hili jina au mpangilio wa irabu na konsonatiAtuganile tuntufye mwakifulefule...kwanza refu balaa😅
Yaani Lina mizani na vina!mmh hili jina au mpangilio wa irabu na konsonati
hahaYaani Lina mizani na vina!
Avatar yako ni kabila gani tuanzie hapoMiaka 20 ijayo majina ya Asili Tanzania ya makabila kama Ngonyani, Mkude, Kimaro, Haule, Maduhu, Mwita, Wambura, Mabada, Sumari, Kiondo nk yatakua ni ya kuhesabu ana ni ya kutafuta ama yatakua yameisha kabisa.
Leo 95% ya watoto wanaozaliwa majini ni James, John, Abdalah, Mohamed, Abdrazak, Jayden, Johnson, Beatus, Julius, julieth, Jayna, Jasmine, Chris, nk nk.
Wazazi wa siku hizi unakuta kabisa wanauliza eti naomba jina zuri la mtoto wa kike, naomba jina zuri la mtoto wa kiume halafu mapendekezo yanayotolewa huwezi kukuta jina la asili hata moja.
Uzungu, ulimbukeni na ushamba utafuta kabisa majina ya asili ya wazee wetu wa zamani, watasahaulika kabisa.
Mimi binafsi sijawahi kuona ni wapi dini inalazimisha kwamba ni lazima mtu abatizwe kwa majina ya kizungu ama ya jamii nyingine, sasa sijui hii ya kwetu inatoka wapi.
Nashindwa kuelewa, kwamba nikibatizwa John ndio Mungu anapenda ila nikibatizwa Majura Mungu hapendi ama ni nini? Mungu anafanyia nini jina langu?
Sasa hizo nguo zimekusaidia nini kama bikra zote umepotezea? Hao waliokua wanaacha matiti nje mbona hawakupoteza bikra zaoVizuri lazima vipendwe na vilivyo vibaya lazima visemwe
Ungependa kutunza misingi ya kiafrika basi leo hii kama we ni mwanamke hukupaswa kuvaa nguo
Ulitakiwa uwe umevaa magome ya miti na ukiyaacha matiti wazi
Sasa subiri kizazi chako kutakavyoteseka unampa mtt jina la john kumbe mzimu wa john ulikuwa shoga huko ulayaMimi ni wakwanza sitak kumpa mtoto wangu jina la kurithi kabisa ntampa hayohayo yanayoonekana yakizungu, mimi nina jina la kurithi linanitesa balaaa mizimu hainishi nipo napambana na maombez kanisani kwasabu sitaki uganga na wenzangu wenye hilo jina karibu wanne wamekua waganga kisa ni hilohilo jina lol
Ndugu hz dini zinawaaribu sana watu. Watu hawataki asili yao hawataki kuridhi mila zao, ndio maana kwenye familia zetu mtu akichewa kidogo mambo yanaharibika kwasabb watu wanakosa kinga za koo zao km hzi... mtu anakwambia hataki mikoba, mwingine anaitia moto mara anaenda kwenye maombi hajui wale ni ancestors wake wamekuja na wanataka kutunza asili ya koo yake kupita yy na mda mwingine ni kwa ajili ya ulinzi wake mafanikio yake na kizazi chake. Kwanza ile kitu huja kwa bahati sana ndio maana sio kila mtu inamtokea na ikikutokea ujue ww una kitu chaziada kwenye damu yako!!Hayo kama yapo kwenu hata wote mkija kujiita majina ya kizungu yatakuja tu......huwezi kimbia asili yako