KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,830
- 12,312
Mimi kama nitalipia huduma baada ya miaka 2 kuisha nipo tayari, ni pm.
Time will tell,unataka kusema tigo hawana watu huku mitandaooni watawapa taarifa kua kuna mtu anawaibia?Haloteli walifunga kweli [emoji16] ila hii haitafungwa
Hilo nalo neno.Ukiitiwa Fursa Ujue Wewe Mwenyewe Ndiyo Fursa
NiungeAah habari za majukum member wa Jf leo tumekuja na huduma ya kuongea bure miaka miwili unapiga kwenda mitandao yote ukiwa na lain ya tigo kwa gharama ya elf 20 tu... Karibuni sana
MALIPO NI BAADA YA HUDUMA
ZINGATIA[emoji116][emoji116]
UAMINIFU MTAJI NAPOKUUNGA ZINGATIA KUNITUMIA PESA MAPEMA KUEPUKA USUMBUFU UTAKAO JITOKEZA NIKIDHANI UNAITAJ KUNITAPELI
KAMA UNASWALI NJOO PM NAOGOPA KUWEKA NAMBA [emoji16]AU ACHA YAKO NAKUPIGIA
Nipe.wiki 2 za majaribioSasa tutoe mda gani boss nisaidie week au mwezi[emoji848]