Mudi_kidato
Senior Member
- Sep 6, 2019
- 146
- 184
- Thread starter
- #41
Sasa tutoe mda gani boss nisaidie week au mwezi[emoji848]Huwezi kumpa mtu guarantee ya miaka 2 kuwa ataongea bure hasa kwa mambo ya mtandao maana kama kuna kitobo anytime linazibwa