evonik
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 3,996
- 5,187
Ukishaungwa unatumia miaka miwili unapiga bureee mitandao yote gharama elf 20 [emoji120]
Swali langu lipo hivi, kwa sisi tusio na laini ya tiGO, tunapataje hii huduma?Ukishaungwa unatumia miaka miwili unapiga bureee mitandao yote gharama elf 20 [emoji120]
Unanitumia namba yako ya tigo nakuunga nahiyo hudumaSwali langu lipo hivi, kwa sisi tusio na laini ya tiGO, tunapataje hii huduma?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sina ya tiGO nna vodaUnanitumia namba yako ya tigo nakuunga nahiyo huduma
Pole sana namimi sina voda nina tigo
Nimecheka sana hii comment sawa mzalendo lakini ukituma malipo government inachukua %15Waujumu uchumi nyie .
Hapa mteja na muuzaji wote wezi.
Maana malipo ya kodi hayapo. Vya njia ya panya sio vizuri ..
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ona vijana wa hovyo sana wanawaza kuibiwa tu sasa maisha mazur utapa kweli wewe [emoji16][emoji16] unasafari ndefu sananasubiri vilio
Acha wapigwe tu hakuna namna...wabongo wengi wanapenda sana maisha mserereko.Kuna watu wazima hapa wanapigwa pesa na dogo freelancer..
Kifupi najua anachofanya ila
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] aseeKuna watu wazima hapa wanapigwa pesa na dogo freelancer..
Kifupi najua anachofanya ila
Jamani hii nikweli jaman mniamini sasa[emoji120][emoji120]Acha wapigwe tu hakuna namna...wabongo wengi wanapenda sana maisha mserereko.
Ushuhuda wa kupigwaYaaaaani mpaka page hii bado hakuna ushuhuda hata wa mtu mmoja ambaye umemuunga kiongozi...?
Huwezi kumpa mtu guarantee ya miaka 2 kuwa ataongea bure hasa kwa mambo ya mtandao maana kama kuna kitobo anytime linazibwaAah habari za majukum member wa Jf leo tumekuja na huduma ya kuongea bure miaka miwili unapiga kwenda mitandao yote ukiwa na lain ya tigo kwa gharama ya elf 20 tu... Karibuni sana
MALIPO NI BAADA YA HUDUMA
ZINGATIA[emoji116][emoji116]
UAMINIFU MTAJI NAPOKUUNGA ZINGATIA KUNITUMIA PESA MAPEMA KUEPUKA USUMBUFU UTAKAO JITOKEZA NIKIDHANI UNAITAJ KUNITAPELI
KAMA UNASWALI NJOO PM NAOGOPA KUWEKA NAMBA [emoji16]AU ACHA YAKO NAKUPIGIA
Okay utanitumia picha ya kitambulisho Chako cha taifa ikakuwa kama dhamana hapo nitakuungaTrial nianze kutumia kwanza kwa mwezi mzima alafu ndiyo nikulipe.