Rev. Kishoka
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 4,526
- 1,529
Kama kuna kitu ambacho Serikali ya Tanzania haikuwa imejiandaa vizuri na hata kuelewa ni uwepo wa internet na nguvu (power) ya internet.
Leo hii Jamii Forum ni kubwa kuliko magazeti ya kila siku nchini. Na uhakika kuna watu wengi sana hasa Wanasiasa, Watendaji wa Serikali na hata vyombo vya habari wanatumia muda mwingi JF kupata habari, maoni na kusoma malumbano.
Miaka 13 sasa, JF ni hazina kubwa sana na kama Wanasiasa na viongozi wetu wana nia ya kweli kuongoza na kuleta maendeleo, basi fursa hiyo bado ipo na JF ndio mahali pa wao kuja kusoma mawazo ya Watanzania.
Viva Jamii Forum!