Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Wewe besidei lini jamaniHongera mkuu...
Ile kitambo wengi wetu tulisahau password, vile Jambo Forums sehemu kubwa mijadala ilikuwa siasa kwa kiasi kikubwa...
Unajipata mtu ulikuwa unaingia tu kama guest kusikiliza miziki haswa zilipendwa (kwa ile embedded online player, baadaye ilikuja tolewa)..
Naam mkuu, same ID since day one...na pasipo kutiwa lock upAsante, na wewe mwezi ujao unagonga one decade! Nimekumbuka hio miziki. Mijadala ilikuwa mizito unachungulia tu kwa mbali
Hata sijui, around Feb nadhaniWewe besidei lini jamani
Hahhaha hii miaka 45 unaiona midogo kweliLini umezeeka eti dada
Tutakata cake etiHata sijui, around Feb nadhani
Na kweli!!Hahhaha hii miaka 45 unaiona midogo kweli
Oooh
Keki yangu utaituma kwa raha leo![]()
Hivi inatakiwa kuweka party eenhTutakata cake eti


Weeeh bado sijafikia bwana usinikatishe kula tamu nahisi nitafika 50Na kweli!!
Hivi ndo upo menopause eehhh
Hahaha pacha leo umekuwaje? Unanifanya nione aibu ujuePacha wewe ni kifaa



wengine vidudu
10 years ago kuna wenzetu humu walikuwa darasa la 5

HAPANAHivi inatakiwa kuweka party eenh![]()