Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Umeisahau eeehhKwamba uko na I'd nyingine eti
Umeisahau eeehhKwamba uko na I'd nyingine eti
Kuvumilia nini sasa jamani dada akee shunieNaomba zawadi ya kuvumilia JF
Ebu fanya kunikumbusha basiUmeisahau eeehh
Hapana, wewe rigid hupelekwi,una misimamo yako. Mshamba unampeleka njia unayotaka muende anakuelewaNani hao wanapenda washamba? Wewe? Sasa huo ushamba si ndio unamfanya mtu awe rigid?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila kitu, wewe mwenyewe tuu ni changamotoKuvumilia nini sasa jamani dada akee shunie
HallelujahUtaipata
Huu mwaka mpya ujue...sitaki mimi



Juzi kati baba ako alipita job woiiiii nilimkwepa akahudumiwa na mtu mwingine story ndefu nitakutumia vn WhatsApp kama nakuona utakavyochekaAsante, nane si habaHongera sana .Me Nina miaka nane . Nina miezi michache ya kuwa active
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana, wewe rigid hupelekwi,una misimamo yako. Mshamba unampeleka njia unayotaka muende anakuelewa


ila pacha wewe, misimamo yangu mimi uliiona wapi? Hii ya nyuma ya keyboard? Usidanganyike
Hahhaha ebu uko hakuna zawadi hata
Ole wako usilete zawadi yangu
Unanitafutia kesi anajua kudai huyoUtaipata