Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Meno yangu tayari mabovu, hamna shida kabisaaKeki inaharibu meno ujue
Ndo udai sasaZawadi bado haijatolewa ngoja itolewe kwanza
Mbona unataka kuniwahisha lakini ebu niache kidogo






Acha kabisa sauti ya kubembeleza unajiuliza huyu mtu muhenga au vipi
Watu8 10 years Anniversary!Eti sakayo tunaipa jina gani
Duh hivi wenzetu mnasikia sauti humu?!!!






Na mimi bado nataka kula utamu menopause iniache kidogo jamani
Utuwache na sisi tukule utamu
Na mimi nakudai dompoAnapewa zawadi mwenye birthday ila kumbuka uliahidi zawadi jamani basi mimi utanidai bucket ya heinekenn
WoyooooooWatu8 10 years Anniversary!
AiseeeeeKuna jf call hujui kumbe
Khaaaaa dompo tenaNa mimi nakudai dompo
Ebu ukoooAiseeeee
Si unajua mimi siwezi kudaiNdo udai sasa