Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
HahahahahahWeeeh bado sijafikia bwana usinikatishe kula tamu nahisi nitafika 50
Nikajua ndo tayari, ila unakaribia ujue
HahahahahahWeeeh bado sijafikia bwana usinikatishe kula tamu nahisi nitafika 50
Hahaha chizi wangu bwanaHAPANA
Unaweza kutupea hiyo keki tuu
HAPANA
Unaweza kutupea hiyo keki tuu
Zawadi bado haijatolewa ngoja itolewe kwanzaIla katoa zawadi
Unasahau sentence muhimu jamani
Mbona unataka kuniwahisha lakini ebu niache kidogoHahahahahah
Nikajua ndo tayari, ila unakaribia ujue
Sio mimi ndio mnipe zawadi?!



mimi nitakupa zawadi ya bucket ya heinekenn
Eti sakayo tunaipa jina ganiHalafu hiyo party unaipa jina gani?
Kwa hiyo unalipa kisasi au ndio uko kujuta? Basi natengua kauli pacha, mwaka huu usiishe bila kula ubwabwaHa ha ha ha umesahau post yako ya mwaka juzi ukiniombea niteseke na kuendelea kujuta? Leo asubuhi nilikukumbusha
Anapewa zawadi mwenye birthday ila kumbuka uliahidi zawadi jamani basi mimi utanidai bucket ya heinekennHivi mwenye birthday na waalikwa nani anapewa zawadi?! 😎 😎
Wewe hapo mkubwa ndo unatoa zawadi jamaniSio mimi ndio mnipe zawadi?!