Mi nisingeweza fanya huu ujinga.

Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
15,657
20,940
hata kama sijui kitu kuhusu ujenzi, nisingejenga hapa.

img-20170313-wa0004-jpg.480289
 
hata kama sijui kitu kuhusu ujenzi, nisingejenga hapa.

img-20170313-wa0004-jpg.480289

HATA MIMI NILISHANGAZWA NA UJENZI HUO KWANI MWAKA 2011 TU YALITOKEA MAFURIKO MAKUBWA KIASI CHA KUSABABISHA BARABARA KUFUNGWA NA WAKAZI WA BONDE LA MSIMBAZI WALIKIMBIA NYUMBA ZAO KWANI ZILIJAA MAJI HADI KWENYE MAPAA.
WAKATI HAWA MAKANDARASI WANAJENGA MIUNDO MBINU YA BARABARA YA MWENDO KASI, WAHANDISI WA JIJI PENDWA LA DSM WALIKUWA WAPI?
 
Ni bora, wameutilize vzr ardhi kwa kuweka ofisi zao na sio kua makazi ya watu na risk zake kibao
 
Dah.... Kuna tofauti kubwa sana kati ya eneo LA makazi na eneo Lisilo LA makazi
 
Ilikuwaje wakajenga majengo ya kudumu hapo na sio ya muda mfupi?
 
Mwenyezimungu hana mfano...hana mshirika...na huchukia DHULMA...na husimamia HAKI.
Yote papa hapa duniani...
ALLAH ndiye mjuzi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom