Mi nawakilisha pande za ngara mkoa wa kagera

Mi nawakilisha pande za ngara mkoa wa kagera

Niandalie mlamba,kabalagara,mgoligoli na gwagwa.
 
Pande za kosovo,yaan ukitoka murgwanza kuelekea mgoma kabla haujafika mkirehe
 
Jaman nawakaribishen huku ngara hasa pasaka h¨ªi tujichane

mkuu unakaa kumtana, mkikomero, ntobeye, shanga au wapi? hapo murgwanza kuna mzee anaitwa abdallah kiregea unamjua? hapo ngara mjini ushaenda kupiga urabu abakunzi bar au kwa Ima? au ushawahi cheza basket ball pale tcrs? au umeshashuka k9 hadi kasharazi bila kukanyaga brake? ushaenda kula ktmoto nyamiaga au ushaenda jaza mafukwa pale kwa barongo? ushavusha bangi rusumo kwenda rwanda kwa mtumbwi? nijibu. mia
 
Back
Top Bottom