BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,789
- 288,015
- Thread starter
- #21
Mkuu, hapo ndipo nilishikwa na butwaa. Huu mchezo wa ku-control watu wa America wa kuwaonyesha TV za mji unao kaa tu na wakionyesha Habari za US nzima wandai ni world news, ni ukomunisti wa aina fulani.
Kaazi kwer kwer
Yaani ni kichekesho cha hali ya juu. Wengi hata hawajui nchi wanazopakana nazo katika mipaka yao. Tena wengi wana elimu ya kutosha tu kuweza kulijua hili.